nilie nae hanipi stress! Mzungu wangu tulikutana ofisi ninayoifanyia kazi...tangu hapo nimepata nae watoto wawili...anajitahid kuniunganishia mipango mingi. Naweza kuwa nae mbali kwa miezi kadhaa lakin umbali wetu siwezi ku-cheat ! Tatizo lipo pale pale kwa Wabongo tumeweka mapenzi kama mradi badala ya burudani.