ndio ndoa hizi

Halafu hommie nna kesi na wewe na mamushka. Mmekula njama mchumbangu mmemfungia usalule.................:fish2:
Ongea taratibu basi hommie.......Hii kesi ya mamushka ujue!!
 
Nipo mwake mamushka....ya jana haikua kali sana sijui yule mama muuza kajifunza mbinu za kuchakachua? hii technolojia itatuua wengi... hapa ntaomba msaada kwa hommie anijuze!!

ona sasa hapa chini................

Halafu hommie nna kesi na wewe na mamushka. Mmekula njama mchumbangu mmemfungia usalule.................:fish2:

haaaaaaaaaa, kapanda bus la upendo mwenyewe kamfata Kimey, iweje useme tumemlia njama???
 
haaaaaaaaaa, kapanda bus la upendo mwenyewe kamfata Kimey, iweje useme tumemlia njama???
Hapo ana kesi ya kujibu kabla hajakamata talaka na kuhamishiwa kwa homeboy kwa lazima! (baada ya kudumisha mila kiduchu, mahawara hawaachani ujue):closed_2:
 


morning ladies and gentlemen.......tudevelop....huku ndo kumekucha!:A S 39:
 
morning ladies and gentlemen.......tudevelop....huku ndo kumekucha!:A S 39:
muheshimiwaaa spiiiiiiikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 


The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kaizer (Today), Roya Roy (Yesterday)​



Hommie apo anayebisha na awe wa kwanza kurusha jiwe...mbona tunataka kuishi kwenye utopia? c'mon.....😡
 
sijafungua kinywa mjue, nimeagiza mihogo sasa ndo nimeletewa ngoja nikajichane
 
Aksante Partner nimeshakaribia ........... Asa mbona nasikia harufu ya wivu partner?? ndio nini kuredisha hapo kwenye nimefichwa sehemu??. .......mwenzio nilikuwa aisiiyuu........

...LOL, aisiyuu tena? hii taasisi ya wagonjwa mahututi ishabadilishwa maana siku hizi ndio maana nacheka.
Pole sana. Hiyo red aahhh, mkono tu uliteleza, si unajua tena 'trafiki laiti!'...hehe..mawazo spidi 120!
:car::car:
 

Wewe ndio umekosea. Mwanaume pia ameumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja tu, shida ya wanaume wanapaparika wanashindwa kumgundua huyo mwanamke waliyeumbiwa, wanaoa kwa tamaa tu. Kama mtu wangu hapa alioa mwanamke kwa ajili ya digrii zake za ulaya, sasa hivi anajuta kagundua kuwa anayeolewa ni mwanamke na si digrii. Kila siku ananililia kama mtoto mdogo anasema kwa nini hakunifahamu siku zote hizo. Hapo unakuta ndoa kwingine na mapenzi kwingine. Yaani huyu ni aliumbwa kwa ajili yangu lakini akapotea njia akaenda kuoa digrii za ulaya, halolaho!
 
Mwenzio naye alidhani kama wewe. Huyo jamaa mpe muda tu. Mila lazima zidumishwe Da Sophy. Jiandae kwa mshangao wa mwaka.
 

kama ni hivyo anasubiri nini kukuhalalisha?
 
Mwenzio naye alidhani kama wewe. Huyo jamaa mpe muda tu. Mila lazima zidumishwe Da Sophy. Jiandae kwa mshangao wa mwaka.

nawashangaaga sana baadhi ya wanawake....wanadanganywa tu na hao wanaume na wao wanayaweka kichwani, kama huyo mwanaume amegundua kweli alioa digrii na sio mke kwanini kwasasa asioe mke bac ambae ndio huyo da sophy?...hapo akikaa nae lisaa utackia ngoja niwahi home, wife akical awaweweseka wife huyo anacal, hapo hapo mnaambiwa ameumbwa kwa ajili yako, hivi mtazibua lini akili jamani?
 
Da Sophy............... natamani nikuone maana vituko vyako vya mwaka!
 

da sophy kaja na mimba anafikiri hapo ndio kamaliza! ningekua mi ye namwambia amwache mkewe anioe ndio mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…