ndio ndoa hizi

ndio ndoa hizi

Halafu hommie nna kesi na wewe na mamushka. Mmekula njama mchumbangu mmemfungia usalule.................:fish2:
Ongea taratibu basi hommie.......Hii kesi ya mamushka ujue!!
 
Nipo mwake mamushka....ya jana haikua kali sana sijui yule mama muuza kajifunza mbinu za kuchakachua? hii technolojia itatuua wengi... hapa ntaomba msaada kwa hommie anijuze!!

ona sasa hapa chini................

Halafu hommie nna kesi na wewe na mamushka. Mmekula njama mchumbangu mmemfungia usalule.................:fish2:

haaaaaaaaaa, kapanda bus la upendo mwenyewe kamfata Kimey, iweje useme tumemlia njama???
 
Hapo ana kesi ya kujibu kabla hajakamata talaka na kuhamishiwa kwa homeboy kwa lazima! (baada ya kudumisha mila kiduchu, mahawara hawaachani ujue):closed_2:
 
hahahaha!
TATIZO LAKO WE UNAJUA HAPO UTAKUTANA NA penakode...!
hiyo hiyo confessions na denials ndo nilitaka uone,na uone waliochangia na uilinki na hii sredi
kati kati ya mstari sasa....!heheheheheh!
''...TULIFURAHI PAMOJA,TUKATESEKA TUKAHUZUNIKA PAMOJA,NA TUTASHINDA PAMOJA...''

morning ladies and gentlemen.......tudevelop....huku ndo kumekucha!:A S 39:
 
muheshimiwaaa spiiiiiiikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ngoja nianze kutabiri. Kwenye 81 wapo......Teamo, Asprin, Roya Roy, De Novo, Kaizer, Fidel,Bigirita,GP,Kimey,Maxence Melo, Maskini_Jeuri...............FL1, Nyamayao, Charity, Carmel,Bht,Lily Flower,Preta,GS,JS,MJ1, Mom.Katerelo,Noname

Kwenye 46: .............0%

Damn! sasa hiyo 63.78% inai nfidelatize na kina nani? Wanawake bana...........Haya bana!

The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kaizer (Today), Roya Roy (Yesterday)​

Hommie apo anayebisha na awe wa kwanza kurusha jiwe...mbona tunataka kuishi kwenye utopia? c'mon.....😡
 
sijafungua kinywa mjue, nimeagiza mihogo sasa ndo nimeletewa ngoja nikajichane
 
Aksante Partner nimeshakaribia ........... Asa mbona nasikia harufu ya wivu partner?? ndio nini kuredisha hapo kwenye nimefichwa sehemu??. .......mwenzio nilikuwa aisiiyuu........

...LOL, aisiyuu tena? hii taasisi ya wagonjwa mahututi ishabadilishwa maana siku hizi ndio maana nacheka.
Pole sana. Hiyo red aahhh, mkono tu uliteleza, si unajua tena 'trafiki laiti!'...hehe..mawazo spidi 120!
:car::car:
 
Huyo wifiyo angekuwa anaifahamu necha vizuri wala asingepata mapresha yote hayo.

Ni hivi:

Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi... Ukishalijua hili na kulikubali nakuliamini, na kulitenda, haya mambo wala hayatakuumiza.... Mfundishe wifiyo kanunu hii na afya yake itarejea sawia!!!

Wewe ndio umekosea. Mwanaume pia ameumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja tu, shida ya wanaume wanapaparika wanashindwa kumgundua huyo mwanamke waliyeumbiwa, wanaoa kwa tamaa tu. Kama mtu wangu hapa alioa mwanamke kwa ajili ya digrii zake za ulaya, sasa hivi anajuta kagundua kuwa anayeolewa ni mwanamke na si digrii. Kila siku ananililia kama mtoto mdogo anasema kwa nini hakunifahamu siku zote hizo. Hapo unakuta ndoa kwingine na mapenzi kwingine. Yaani huyu ni aliumbwa kwa ajili yangu lakini akapotea njia akaenda kuoa digrii za ulaya, halolaho!
 
Mwenzio naye alidhani kama wewe. Huyo jamaa mpe muda tu. Mila lazima zidumishwe Da Sophy. Jiandae kwa mshangao wa mwaka.
 
kama ni hivyo anasubiri nini kukuhalalisha?
 
Mwenzio naye alidhani kama wewe. Huyo jamaa mpe muda tu. Mila lazima zidumishwe Da Sophy. Jiandae kwa mshangao wa mwaka.

nawashangaaga sana baadhi ya wanawake....wanadanganywa tu na hao wanaume na wao wanayaweka kichwani, kama huyo mwanaume amegundua kweli alioa digrii na sio mke kwanini kwasasa asioe mke bac ambae ndio huyo da sophy?...hapo akikaa nae lisaa utackia ngoja niwahi home, wife akical awaweweseka wife huyo anacal, hapo hapo mnaambiwa ameumbwa kwa ajili yako, hivi mtazibua lini akili jamani?
 
Wewe ndio umekosea. Mwanaume pia ameumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja tu, shida ya wanaume wanapaparika wanashindwa kumgundua huyo mwanamke waliyeumbiwa, wanaoa kwa tamaa tu. Kama mtu wangu hapa alioa mwanamke kwa ajili ya digrii zake za ulaya, sasa hivi anajuta kagundua kuwa anayeolewa ni mwanamke na si digrii. Kila siku ananililia kama mtoto mdogo anasema kwa nini hakunifahamu siku zote hizo. Hapo unakuta ndoa kwingine na mapenzi kwingine. Yaani huyu ni aliumbwa kwa ajili yangu lakini akapotea njia akaenda kuoa digrii za ulaya, halolaho!
Da Sophy............... natamani nikuone maana vituko vyako vya mwaka!
 
nawashangaaga sana baadhi ya wanawake....wanadanganywa tu na hao wanaume na wao wanayaweka kichwani, kama huyo mwanaume amegundua kweli alioa digrii na sio mke kwanini kwasasa asioe mke bac ambae ndio huyo da sophy?...hapo akikaa nae lisaa utackia ngoja niwahi home, wife akical awaweweseka wife huyo anacal, hapo hapo mnaambiwa ameumbwa kwa ajili yako, hivi mtazibua lini akili jamani?

da sophy kaja na mimba anafikiri hapo ndio kamaliza! ningekua mi ye namwambia amwache mkewe anioe ndio mimba
 
Back
Top Bottom