Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
huyo jamaa kosa lake kubwa ni ENEO ALILOTUMIA KUCHITI....!adhawaiz chiiting is there na wana jf wenyewe wameuthibitishia uma:
HEBU TUJIKUMBUSHE KIDOGO:
Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?
kwa msaada wa kisheria BONYEZA HAPA
HEBU TUJIKUMBUSHE KIDOGO:
Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?
na majibu yalikuwa hivi:Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.
Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na wenza wao. (cheating). Na pia kwa wale ambao ni singles, wangapi wamesha cheat na waume au wake za watu? Kuweni free tu ili tujue statistics za hapa Tz kwenye hili swala, tusibishanie maneno. Kwa vile wengi sana wanasema its normal to cheat i hope hatutaogopa kuvote hapa.
Kwa mfano. kama wewe ni single sema "mimi ni single sijawahi au nimewahi kucheat na mke au mume wamtu"
kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa"
Pia addition information unaweza kutueleza uliewahi kucheat naye ni same person au different people over a certain time, hata sababu zilizokupelekea kucheat pia would be appreciated. Je spouse wako alijua, aliwahi kuhisi au amelala usingizi wa pono, yani hajui kinachoendelea.
Tuwe wakweli basi. thanks.
- NDIO
81 63.78%
- HAPANA
46 36.22%
kwa msaada wa kisheria BONYEZA HAPA