Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #61
Huu mtandao siyo mpya bwana wewe ndo mpya, tueleze tu umetuletea nini kipya ndugu zako.
Vipya vingi kaka! itategemea na tunaongelea nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mtandao siyo mpya bwana wewe ndo mpya, tueleze tu umetuletea nini kipya ndugu zako.
wameni leftisha mkuu
Huku sio insta shehe, huku hadi madume yana avatar za kikeavatar za pis mbona chache
Mfano mimi nataka unipe fomular mpya za kuishi na dem goto bila kumlipia mali na kwao wakaridhia.Vipya vingi kaka! itategemea na tunaongelea nn
Mfano mimi nataka unipe fomular mpya za kuishi na dem goto bila kumlipia mali na kwao wakaridhia.
Huku sio insta shehe, huku hadi madume yana avatar za kike
bas relax feel free aise humu
Itabid unipe connection sasa😀Kuna makabila ambayo hilo swala kwao ni kawaida kama wangoni,wazaramo na mengineyo
lakin pia inategemea na familia malezi kuna familia mtoto akiondoka kwao hawajishuhulishi kabisa kumtafuta ilimrad wajue yuko salama
Itabid unipe connection sasa[emoji3]
pamoja sana
Mjini Daslam, zana zote za kivita ninazo labda uniongezee ushauri tu.sema mahali ulipo nikupee
kumbuka tu kujilinda
Mjini Daslam, zana zote za kivita ninazo labda uniongezee ushauri tu.
Karibu. Ushauri hakuna haja ya kusema uongo. Edit hapo juu sema........ nimejiunga jana.Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
🤣basi tuache tuuu...ushauri usifanye rough kama unakomoa Ntu
Sio Ntu, ni mtu mkuu.ushauri usifanye rough kama unakomoa Ntu
Karibu. Ushauri hakuna haja ya kusema uongo. Edit hapo juu sema........ nimejiunga jana.
Sio Ntu, ni mtu mkuu.