ndio..nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu

Yaani kama kungekuwa na 'malaika' wengi kama 'ninaowaona' hapa ukimwi tungekuwa tunausikia kwa wenzetu tu!

utakatifu usoni mioyoni hata mapadri na masheikh hawana ukweli huo wanajionea sawa wanakimbiza ibada wamalize faster ili wakazini yaani kama wapo watakua na ka-upako fulani hivi.
 
Yaani kama kungekuwa na 'malaika' wengi kama 'ninaowaona' hapa ukimwi tungekuwa tunausikia kwa wenzetu tu!

wako wapi tena kaka SMU? nisaidie kuwa-identify
 
Kumpenda mkeo ni kuto kumuumiza, ni kumlinda si kwa kuvaa kondomu ni kuwa mwaminifu. hata useme vipi mkeo humpendi na hata vitabu vya imani vinasema (ukristo) mke/mme haachwi isipokuwa kwa uzinzi. endelea kutafuta hao wa fastafasta uone tamu yake.
 
wako wapi tena kaka SMU? nisaidie kuwa-identify
Here I am!

Mbona wengi tu......ukisoma post zao utawatambua tu!
Sidhani kama mamushka ana haja ya kusoma posts zangu. Anajua fika ukaribu wangu na mwana wa Daudi. Na akizisoma posts zangu anajua saa nyingine am not serious!
 
naendelea ku-identify on my own jameni...........!!!
 
naendelea ku-identify on my own jameni...........!!!

List inasemaje?
1......................
2........................
3.......................
 
Yaani kama kungekuwa na 'malaika' wengi kama 'ninaowaona' hapa ukimwi tungekuwa tunausikia kwa wenzetu tu!

List inasemaje?
1......................
2........................
3.......................

B umeona SMU alivyo iweka hiyo 'malaika'...........

kutaja tena B hapana bana mi ni kwa matumizi yangu ya baadaye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…