Kama mnavyoniona niko ndani ya nyumba. Nikaribisheni kiti tu maana nina hamu ya kujua yanayoendelea humu. Nimekuwa nikiwasoma tu kwa juu juu nikagundua kuna mengi humu tena ya kutosha. Nikavutiwa na siasa za humu, mapenzi na stori za hapa na pale. Nimesikia kutakuwa na pati... uwiii ninavyopenda pati ikabidi nijitose tu leo.
Nasikia na matapeli wamo.... ha ha haaaa Basi wapendwa ndo hivyo once again hoodi!
Nasikia na matapeli wamo.... ha ha haaaa Basi wapendwa ndo hivyo once again hoodi!