Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo umeileta kama utani tu ila imenitachi sana hii picha,
Naunga mkono hoja....Japo umeileta kama utani tu ila imenitachi sana hii picha,
Mtu anapomaliza kazi alipwe kwa wakati anao stahili,ni haki yake huo ujira alioufanyia kazi,
Nao wana matumizi pia,
Kwenye harakati za maisha usimdhulumu mtu,kila mtu ana matatizo yake na ana watu nyuma yake wanao mtegemea,tutende haki kwa kila mtu,haya ni maisha ya muda mfupi sana.
Hasa hasa kazi ngumu kama hzo kwenye malipo stakag utanJapo umeileta kama utani tu ila imenitachi sana hii picha,
Mtu anapomaliza kazi alipwe kwa wakati anao stahili,ni haki yake huo ujira alioufanyia kazi,
Nao wana matumizi pia,
Kwenye harakati za maisha usimdhulumu mtu,kila mtu ana matatizo yake na ana watu nyuma yake wanao mtegemea,tutende haki kwa kila mtu,haya ni maisha ya muda mfupi sana.
Upo sahihi mkuu, hii nimeileta kiutani utani ila ina uhalisia huku mtaani. Nna jamaa zangu ni mafundi na wana bosi wao wa moshi, wapo site bosi kaenda moshi wakimpigia simu jibu ni moja tu mpaka arudi kutoka moshi.Japo umeileta kama utani tu ila imenitachi sana hii picha,