Ndio umeingia Marangu mwezi huu halafu hauna pesa, hivi ndivyo utakavyokuwa unaonwa

Japo umeileta kama utani tu ila imenitachi sana hii picha,

Mtu anapomaliza kazi alipwe kwa wakati anao stahili,ni haki yake huo ujira alioufanyia kazi,

Nao wana matumizi pia,
Kwenye harakati za maisha usimdhulumu mtu,kila mtu ana matatizo yake na ana watu nyuma yake wanao mtegemea,tutende haki kwa kila mtu,haya ni maisha ya muda mfupi sana.
 
Naunga mkono hoja....

Kukaa na jasho la mtu ni dhambi
 
Hasa hasa kazi ngumu kama hzo kwenye malipo stakag utan
 
Upo sahihi mkuu, hii nimeileta kiutani utani ila ina uhalisia huku mtaani. Nna jamaa zangu ni mafundi na wana bosi wao wa moshi, wapo site bosi kaenda moshi wakimpigia simu jibu ni moja tu mpaka arudi kutoka moshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…