Ndio ustaarabu gani huu?

Ndio ustaarabu gani huu?

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hello Guys ‼️

Ipo hivi, mmekaa na mtu mnashare moja mbili tatu ghafla pua imemwasha anaanza kujisafisha pua Kwa mkono anamalizia alafu baada ya muda kidogo kwenye story limeingia jambo la kuchekesha na yeye anataka kugonga kutoa mkono ili Hali ametoka kusafisha pua yake.

Vitu vingine ni vya kufanya ukiwa mwenyewe na kutumia handkerchief.

635f5c82d3360_Medical-News-Nose-Picking-Alzheimer.jpg
 
Ni nature hiyo mkuu..

Wengine hua wanaingiza mkono kwenye Ndizi wanaikuna ..

Halafu akitoa anaweza shika Tunda akala..
 
Back
Top Bottom