Ndivyo mlivyo wanaume wa Kichaga?

Ndivyo mlivyo wanaume wa Kichaga?

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Jamaa ni mtanzania mwenye asili ya kichanga, nilifahamiana nae kwa kuwa mwanamke aliyeoa twatoka mkoa mmoja na mimi (lakini si uchagani) na tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja na ndipo jamaa alipompatia hapo na mimi nilihusika kwa karibu kufanikisha waoane na kwa heshima huyo Mke huwa anani hesabu kama kaka yake (ana niita Kaka na na jaamaa ana niita shemeji).

Jamaa na Mkewe wote ni wasomi vijana na mungu kawabariki kupata kazi nono tu kila mmoja.

Hivi juzi huyo mke amekuja kunilalamikia, kuwa mumewe alimuomba siku za nyumba wanunue eneo (mbali kidogo na wanapoishi wao sasa), wakakubaliana kukunua na wakajenga vyumba kadhaa kwa mtaji wa mishahara ya kila mmoja. Lengo lilikuwa ni kupangisha, lakini cha ajabu jamaa amewahitisha ndugu wa upande wake (dada zake wawili) toka kijijini ndo wanaishi humo sasa. Bibie anasema amejaribu kumuuliza mume kwa nini iwe hivyo, anasema yeye ndo ameamua kwa kuwa ndo mwenye uamuzi kwenye familia na anapaswa kuwasaidia nduguze kimaisha…
Ndugu wa jamaa wamekuwa wakali kwa huyo mke, alikwenda kuitembelea nyumba , akakuta ndugu wamepangisha chumba kimoja na alipodadisi wakamweleza "kaka ndo amesema tufanye hivi " lakini yeye (Mke) hakupewa taarifa yoyote na hajui hata kiasi cha kodi iliyokubalika hapo kwenye hiyo nyumba , amemuuliza mumewe kwa nini imekuwa vile anamjibu "ulitegemea wale watapata wapi hela ya kula???"(akimaanisha wale nduguze kwenye hiyo nyumba).
Amemweleza huyo mke asiwe anaenda huko na kuuliza habari zisizo na msingi kwa ndugu asije akaleta matatizo kwenye familia.
Duh, hivi ndivyo mlivyo wachaga?...
 
Amemwambia dadako kuwa anafanya hivyo kama mchaga au kama mumewe?
Uchaga unaingia wapi hapo?
 
Tabia ya mtu sio lazima ifanane na kabila au nchi anayotoka, kwani kijijini kwenu hakuna wezi? Hivyo kama wapo tukiwakamata mjini tujuwe nawe ni mwizi kwa kuwa mnatoka kijijini pamoja? Naamini jibu litakuwa hapana hivyo sio sahihi kukaa kikabila hivyo!!
 
Jamaa ni mtanzania mwenye asili ya kichanga, nilifahamiana nae kwa kuwa mwanamke aliyeoa twatoka mkoa mmoja na mimi (lakini si uchagani) na tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja na ndipo jamaa alipompatia hapo na mimi nilihusika kwa karibu kufanikisha waoane na kwa heshima huyo Mke huwa anani hesabu kama kaka yake (ana niita Kaka na na jaamaa ana niita shemeji).

Jamaa na Mkewe wote ni wasomi vijana na mungu kawabariki kupata kazi nono tu kila mmoja.

Hivi juzi huyo mke amekuja kunilalamikia, kuwa mumewe alimuomba siku za nyumba wanunue eneo (mbali kidogo na wanapoishi wao sasa), wakakubaliana kukunua na wakajenga vyumba kadhaa kwa mtaji wa mishahara ya kila mmoja. Lengo lilikuwa ni kupangisha, lakini cha ajabu jamaa amewahitisha ndugu wa upande wake (dada zake wawili) toka kijijini ndo wanaishi humo sasa. Bibie anasema amejaribu kumuuliza mume kwa nini iwe hivyo, anasema yeye ndo ameamua kwa kuwa ndo mwenye uamuzi kwenye familia na anapaswa kuwasaidia nduguze kimaisha…
Ndugu wa jamaa wamekuwa wakali kwa huyo mke, alikwenda kuitembelea nyumba , akakuta ndugu wamepangisha chumba kimoja na alipodadisi wakamweleza "kaka ndo amesema tufanye hivi " lakini yeye (Mke) hakupewa taarifa yoyote na hajui hata kiasi cha kodi iliyokubalika hapo kwenye hiyo nyumba , amemuuliza mumewe kwa nini imekuwa vile anamjibu "ulitegemea wale watapata wapi hela ya kula???"(akimaanisha wale nduguze kwenye hiyo nyumba).
Amemweleza huyo mke asiwe anaenda huko na kuuliza habari zisizo na msingi kwa ndugu asije akaleta matatizo kwenye familia.
Duh, hivi ndivyo mlivyo wachaga?...

Mzee hii ni Hasty Generalization ya kufa mtu, I didnt expect this from u, This is very low.

Soma haya maelezo hapa chini next time ujue namna ya kuepuka mambo ya ku-generalize vitu au ukabila.

Hasty generalization is a logical fallacy of faulty generalization by reaching an inductive generalization based on insufficient evidence. It commonly involves basing a broad conclusion upon the statistics of a survey of a small group that fails to sufficiently represent the whole population. Its opposite fallacy is called slothful induction, or denying the logical conclusion of an inductive argument (i.e. "it was just a coincidence").
Source http://en.wikipedia.org

Mfano.

Person A travels through Town X for the first time. He sees 10 people, all of them children. Person A returns to his town and reports that there are no adult residents in Town X.

Jamaa ni mtanzania mwenye asili ya kichanga, nilifahamiana nae kwa kuwa mwanamke aliyeoa twatoka mkoa mmoja na mimi (lakini si uchagani) na tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja na ndipo jamaa alipompatia hapo na mimi nilihusika kwa karibu kufanikisha waoane na kwa heshima huyo Mke huwa anani hesabu kama kaka yake (ana niita Kaka na na jaamaa ana niita shemeji).

Jamaa na Mkewe wote ni wasomi vijana na mungu kawabariki kupata kazi nono tu kila mmoja.

Hivi juzi huyo mke amekuja kunilalamikia, kuwa mumewe alimuomba siku za nyumba wanunue eneo (mbali kidogo na wanapoishi wao sasa), wakakubaliana kukunua na wakajenga vyumba kadhaa kwa mtaji wa mishahara ya kila mmoja. Lengo lilikuwa ni kupangisha, lakini cha ajabu jamaa amewahitisha ndugu wa upande wake (dada zake wawili) toka kijijini ndo wanaishi humo sasa. Bibie anasema amejaribu kumuuliza mume kwa nini iwe hivyo, anasema yeye ndo ameamua kwa kuwa ndo mwenye uamuzi kwenye familia na anapaswa kuwasaidia nduguze kimaisha…
Ndugu wa jamaa wamekuwa wakali kwa huyo mke, alikwenda kuitembelea nyumba , akakuta ndugu wamepangisha chumba kimoja na alipodadisi wakamweleza “kaka ndo amesema tufanye hivi ” lakini yeye (Mke) hakupewa taarifa yoyote na hajui hata kiasi cha kodi iliyokubalika hapo kwenye hiyo nyumba , amemuuliza mumewe kwa nini imekuwa vile anamjibu “ulitegemea wale watapata wapi hela ya kula???”(akimaanisha wale nduguze kwenye hiyo nyumba).
Amemweleza huyo mke asiwe anaenda huko na kuuliza habari zisizo na msingi kwa ndugu asije akaleta matatizo kwenye familia.
Duh, hivi ndivyo mlivyo wachaga?...

sasa inakuwaje unatujumlisha wanaume wote wa kichaga kwenye issue hiyo au alisema hivyo kwamba anawakilisha wachaga na kiangalia jamaa alisema ameamua kufanya hivyo kwa kuwa ndo mwenye maamuzi na wala sikwamba yy ni mchaga nextime angalia namna ya kuwakilisha hoja yako bila kugusa makabila wala dini wala utaifa wa mtu
 
Sasa akiwa kama Kaka amemfuata huyo jamaa na kumuuliza? Maana huyo kaka ndo alisaidia mpaka jamaa akvuta hicho chombo naamini akimwita na wakakaa chini wanaweza kulitatua tatizo.
 
huyu jamaa hiyo nayo ndo tabia yake...!!!
hana lolote la maana kwani mtu mwenye akili timamu huwezi acha kumshirikisha mkeo kwenye mambo muhimu ya familia yenu
 
hapa sioni hoja ya msingi isipokuwa yafuatayo...

1:- mwendelezo wa mfumo dume unaompa baba nafasi ya kutoa maamuzi na kuyatekeleza/kutekelezwa bila kupingwa...na hili sio kwa wachaga tu...ni almost 80-95% ya wanaume wenye asili ya bara la afrika...ndio maana hata hao african amerikani ndio hivyohivyo

2:-mfumo mbovu wa mawasiliano katika familia yao...kuanzia kupanga mipango yao, kutekeleza na kuhitimisha....sioni sababu ya dada yako kukufuata sahivi kwenye utekelezaji wa mpango na kulalamika ilihali hakukufuata wakati wanafikiria kujenga (planning)...na pia kutoa mambo ya kifamilia nje ya nyumba kwa kaka yeke sio busara..alitakiwa akae na kujadili vizuri na mmewe jinsi ya kuwasaidia ndugu zake

3:- every story has two sides...this is hers..lets hear his story...tuweze kupata mizania.....

...ni maoni tuu ...finito
 
mrespond kwa hayo madai

Kimsingi hapo hakuna madai....
Hivi mimi nikisema nimemwona mgogo akipanda daladala ya kuelekea Mbagala maeneo ya posta basi nitaanza kuuliza kama wagogo huwa wanapenda kupanda za kwenda Mbagala?

Sioni uhusiano wa mada na wachaga mkuu!
 
nimekusoma meku jr.!!!!!
 
Sio kweli kuwa wachaga ndo wako hivyo, haujafuatilia makabila tu. Tena bora huyo anaewajali watu. Pia hujatuambia mke anatoka wapi-bias. Mwisho, hiyo avatar yako ibadili, kaka. Hawakwambii tu. Haina mashiko
 
Hii thread ina harufu ya ukabila-kabila! Huyo bwana alichokifanya kingeweza kufanywa na mwanaume wa kabila lingine pia. Tendo lililofanywa na mtu mmoja tu haliwezi likafawa ndo tabia ya kabila zima. Vinginevyo unatuletea data zingine nyingi zinazoonesha kwamba wanaume wa kichaga ndivyo walivyo. Nje ya hapo ni kuwaonea wachaga.
 
Back
Top Bottom