Mkuu, hayo ndio mambo ya msingi. Hivi timu ikifika fainali au robo fainali ya mashindano fulani, wanapewa kikombe gani?
Simba wanayo kazi ya kuipita Yanga (sijui mwaka upi) kuchukua ubingwa wa nchi toka 18 hadi 24. Angalia hapo kuna tofauti ya miaka sita. Sijui kama Yanga itakuwa imelala ikisubiri Mikia wafike hapo. Na bahati nzuri au mbaya, siku hizi kuna Azam na Mbeya City na wengine wanaweza kuibuka!
Endeleeni kubishana. Hii post ya uzi huu nimeiona mapema sana, nikaangalia knowledge gap nikakosa, nikajiuliza mleta uzi alitaka kufikisha ujumbe upi na kwa nani? Sikuona rationale au justification ya post ndefu kama hii. Kuendelea kubishana hapa ni matumizi mabaya ya muda na bando za intaneti.
Ngoja niwaache wafu wazike wafu wao, Yanga ndiyo kiboko yao! Wengine ni waigizaji tu na wakwapuzi wa vikombe vya mtaani.
yanga kwa kujipa moyooo
Hivi hapa wanaojipa moyo ni Yanga au Simba?
Angalia CV's za klabu duniani hakuna wanapoandika mwaka Fulani tuliishia robo fainali au mwaka fulani tulifika fainali.wanaongelea miaka waliochukua makombe tuUkifika fainali tu, hata kama ukifungwa.. Unapewa heshima kwa kupewa medali, mkwanja mrefu pia utakumbukwa milele na vizazi vijavyo.. tofauti na wale wanaobaki kariokoo wakinywa kahawa na kashata... Na ukifika nusu au robo fainali unapata mkwanja mrefu tu.
Angalia CV's za klabu duniani hakuna wanapoandika mwaka Fulani tuliishia robo fainali au mwaka fulani tulifika fainali.wanaongelea miaka waliochukua makombe tu
Unamaanisha nn ,"kusema yanga ndio basi tena" kwani mwisho wa dunia kesho kutwa,? Rekodi ya kushinda goli tano inaweza kuvunjwa ka dakika ngapi.Na aliye chukua ubinwa mara 18,atatumia miaka mingapi kufikiarekodi ya aliyechukua ubingwa mara 24..usinipe jibu
Mkuu, hayo ndio mambo ya msingi. Hivi timu ikifika fainali au robo fainali ya mashindano fulani, wanapewa kikombe gani?
Simba wanayo kazi ya kuipita Yanga (sijui mwaka upi) kuchukua ubingwa wa nchi toka 18 hadi 24. Angalia hapo kuna tofauti ya miaka sita. Sijui kama Yanga itakuwa imelala ikisubiri Mikia wafike hapo. Na bahati nzuri au mbaya, siku hizi kuna Azam na Mbeya City na wengine wanaweza kuibuka!
wewe ulitaka tuzitoe wapi mkuu? zile za yanga kulalamika kupigwa ngeta kama kisingizio baada ya kushindwa zinatoka wapi? ukweli no kwamba simba iko bora mara 100 yenu timu ya washirikinaMtoa p0st ameikuta hii habar kwenye Mwanaspoti akainyanyua kama ilivyo kuileta humu akidhani analeta jambo la maana kumbe!!!!!! rekodi kama hizi zinaandikwa tanzania peke yake.