barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
toa post la kike hilo
Hata mimi naona havitoshi, wadau wote hawatapata nafasi ya kuitendea haki thread hii adhimu.itabidi waongeze vibofyo vya LIKE
hizo rekodi kama za livapool tu,endeleeni kupigania nafasi yenu ya tano kama kawaida yenuKaangalie rekodi za CAF, utaikuta simba kama moja ya timu chache zilizofika fainali ya CAF. Sio la kubeza hili. Kushindana na timu bora zaidi Simba iko juu, haina ubishi! Ni kweli ligi kuu rekodi yenu ni zaidi yetu na itachukua muda kuivunja.
Kwa kweli yanga wanawachanganya mashabiki wao...Unamaanisha nn ,"kusema yanga ndio basi tena" kwani mwisho wa dunia kesho kutwa,? Rekodi ya kushinda goli tano inaweza kuvunjwa ka dakika ngapi.Na aliye chukua ubinwa mara 18,atatumia miaka mingapi kufikiarekodi ya aliyechukua ubingwa mara 24..usinipe jibu
Maneno ya mtu aliyeishiwa hoja yanaonekana tu...hizo rekodi kama za livapool tu,endeleeni kupigania nafasi yenu ya tano kama kawaida yenu
Rekodi za Yanga hazina stress maana hata paragraph moja haijai...Alafu huku kwenye sports,hatupendi stress,kutuwekea makala ndefu ka treni huku hatupendagi
Rekodi za Yanga hazina stress maana hata paragraph moja haijai...
Malizia na mapendekezo "Recommndations" na kuweka marejeo "References" ya ulikochota hizi habari
Huo mkwanja umesaidia vipi club kuonekana tofauti na club zingine katika nyanja za vitega uchumiUkifika fainali tu, hata kama ukifungwa.. Unapewa heshima kwa kupewa medali, mkwanja mrefu pia utakumbukwa milele na vizazi vijavyo.. tofauti na wale wanaobaki kariokoo wakinywa kahawa na kashata... Na ukifika nusu au robo fainali unapata mkwanja mrefu tu.
Huo mkwanja umesaidia vipi club kuonekana tofauti na club zingine katika nyanja za vitega uchumi
Hata tukiamua kuwagawia wachezaji, viongozi au washabiki wote zote kama shukrani yao nyinyi haiwahusu, kinachoongelewa hapa ni uwezo wa timu kuweza kupeperusha bendera ya nchi mpaka fainali.Huo mkwanja umesaidia vipi club kuonekana tofauti na club zingine katika nyanja za vitega uchumi
Kwani wewe hujui huku ni wapi?Du,umbeya wa kwenye group la simba na yanga unaletwa hadi huku.
Mie member pale msimbazi nilikuwa ninam-challenge member mwenzangu tu ili next time atoe way forward kwa viongozi pindi mkwanja unavyoingia klabuni maana ukiona viongozi wanakimbilia kuwagaia wachezaji ukute nusu inaangukia kwa viongoziHata tukiamua kuwagawia wachezaji, viongozi au washabiki wote zote kama shukrani yao nyinyi haiwahusu, kinachoongelewa hapa ni uwezo wa timu kuweza kupeperusha bendera ya nchi mpaka fainali.
Swala la fedha ziko wapi hilo sio mada iliyopo mezani, ya ndani nyumba ya pili yaachwe kwa wenyewe, hapa tunaongelea heshima katika soka la Afrika bila kuitaja Simba SC / Mnyama bado haijaandikwa...
Vijana wa Simba 1977
Simba ilikuwa inatisha mwaka 1977 ambapo kikosi chake cha kwanza kilikuwa cha kipa Omar Mahadhi, mabeki wa kulia Daud Salum na kushoto Mohammed Kajole. Mabeki wa kati Athumani Juma, Aloo Mwitu na Mohammed "Tall" Bakari. Viungo wa nyuma Aluu Ally na Iddi Kibonye na mbele ni Ezekiel Grayson "Jujuman", Ismail Mwarabu na Abdallah Mwinyimkuu. Kulia ni Willy Mwaijibe na Abbas Dilunga na kushoto ni Martin Kikwa.
Wafunga mabao walikuwa Abdallah "King" Kibaden, Adam Sabu na Jumanne Hassan Masmenti "Tarzan". Mbele ya kikosi hiki mtu ukitoka ilikuwa bahati. Ndicho kikosi kilichoifunga Yanga 6-0 mwaka huo.
Ha ha ha hahahahahhahahahhahahah, da umefanya nilogin kucheka kucomment kicheko. Ni kweli sana sana watakwambia tu.Rekodi za Yanga hazina stress maana hata paragraph moja haijai...