Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao watakaompiga pini nao watakufa njaaView attachment 2258909View attachment 2258910
Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
Njaaa ipiiiiNa hao watakaompiga pini nao watakufa njaa
Ila China ana export more kuliko United States,,, sijui USA anampiku vipi, sema kila kitu Cha US Ni Noma tech, info, military equipment, medicine, Aircraft, etcView attachment 2258909View attachment 2258910
Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
Unaisi China ana export kubwa Kwa Marekani imetokea Tu kama bahati mbaya wenyewe wanasema kama iPhone itakuwa inaundiwa pale Marekani na viwanda vyote vikirudi pale Marekani basi iPhone itakuwa mara tatu ya bei ya sasa iyoo ni iPhone Tu bado bidhaa nyingineView attachment 2258909View attachment 2258910
Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
Lakini hii ni International forum,sasa Tanzania inaingiaje kwa forum hii?Mbona hauweki Tanzania ?Vipi kuhusu Tanzania na Afrika yako? Au unafikiri wewe ni Mzungu ? Kama Uchina bado ana safari ndefu vipi kuhusu Tanzania ?
Lakini hii ni International forum,sasa Tanzania inaingiaje kwa forum hii?
Tukienda hivi hapatokaa pawe na majadiliano yanayohusu nchi nyingine tofauti na Tanzania. Uhuru ni mpana, uwepo wa mada ya China vs USA hauzuii kuanzisha mada ya China vs Tanzania au USA vs Tanzania.Logic haina forum, ulipaswa ulinganishe Tanzania na Afrika unakotoka useme iko wapi kabla ya kuanza kuiponda Uchina na Wachina watu ambao wanajitahidi kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana kujenga nchi yao na kuboresha maisha yao, China hakuna mtu ana njaa kama Afrika, China hawauzi ardhi yao kwa Mwarabu eti aje kuwinda, China hawatembezi bakuli Dunia nzima kuomba misaada kama Tanzania na Afrika.
Hivyo kabla ya kulinganisha Uchina na USA au EU ulipaswa uanzie na kwenu Afrika iko wapi hapo ? Kwa maana kwangu mimi kukejeli China na kusifia Ulaya au Amerika wakati wewe siyo Mzungu na Bara lako unakotoka ni giza tupu, haileti maana!
Tukienda hivi hapatokaa pawe na majadiliano yanayohusu nchi nyingine tofauti na Tanzania. Uhuru ni mpana, uwepo wa mada ya China vs USA hauzuii kuanzisha mada ya China vs Tanzania au USA vs Tanzania.
View attachment 2258909View attachment 2258910
Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
Ndo maana nikakueleza humu uhuru ni mpana. Kuna nyuzi zisizo na maana kuliko hii na watu wanachangia. Nikaongeza kuwa uwepo wa mada USA vs China hauzuii uwepo wa mada USA vs Tanzania.Majadiliano yana logic pia, kama wewe ungekuwa Mmarekani native au Mzungu wa Ulaya hapo ni sawa na ina make sense kuicheka China lkn wewe Mwafrika kuicheka China kwa kuilinganisha na USA au Ulaya ambapo wewe siyo wa huko, is not clever.
Na mijadala kama hiyo ukiinzisha kwa watu wenye akili watakuona wa ajabu hasa kama wewe ukiwa unatoka Afrika bara lenye shida za kila aina ambapo miaka michache iliyopita China ilikuwa kama Afrika wakajitahidi wametoka halafu wewe (Mwafrika) unawakejeli kwa kigezo cha USA ambapo hauna asili napo?
Mkuu ushaambiwa kama unataka uzi wa Tanzania anzisha uzi wako, usiharibu nyuzi za wengine.Majadiliano yana logic pia, kama wewe ungekuwa Mmarekani native au Mzungu wa Ulaya hapo ni sawa na ina make sense kuicheka China lkn wewe Mwafrika kuicheka China kwa kuilinganisha na USA au Ulaya ambapo wewe siyo wa huko, is not clever.
Na mijadala kama hiyo ukiinzisha kwa watu wenye akili watakuona wa ajabu hasa kama wewe ukiwa unatoka Afrika bara lenye shida za kila aina ambapo miaka michache iliyopita China ilikuwa kama Afrika wakajitahidi wametoka halafu wewe (Mwafrika) unawakejeli kwa kigezo cha USA ambapo hauna asili napo?
Mkuu ushaambiwa kama unataka uzi wa Tanzania anzisha uzi wako, usiharibu nyuzi za wengine.
Huu ni uzi wa Marekani na China.
Kwa nini jambo hili rahisi tu linakuwa gumu kwako kuelewa?
Uzi unalinganisha Marekani na China.Unamaanisha nini unaposema naharibu uzi ? Mnaweza tu kuendelea kujadili bila kujali ninachoandika au shida iko wapi ?
View attachment 2258909View attachment 2258910
Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
Mfano mzuri ni matumizi ya android, appstore na window. marekani anapata dollar nyingi sana. Bado kuna applicayion nyingi ambazo USA anapata faida kubwa sana. Marekani amewekeza ktk vitu sensitive sanaIla China ana export more kuliko United States,,, sijui USA anampiku vipi, sema kila kitu Cha US Ni Noma tech, info, military equipment, medicine, Aircraft, etc
Kayabwaga tuuuuHayo majedwali umeyaleta hapa, je imeyaelewa vizuri? heading ya kila jedwali umeielewa? au unaangalia tu figure halafu umeyabwaga hapa jukwaani....