chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Ndiyo maana dj aliamua kujiingiza kwenye sembe, hahaha. Akifungwa nitafurahi sana.
wewe hujaingia kwenye sembe ndo maana masikini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana dj aliamua kujiingiza kwenye sembe, hahaha. Akifungwa nitafurahi sana.
asante kwa kuliona hilo na cjui ni trick ipi wataapply kuharibu tena vijana cozi unga na viroba now ndani ya red cross!Acha bongo lala, CCM ndicho chama pekee kinachoishi kwa ahadi zake. Chama mfu chadema ni chama cha wauza dona, wapiga dili, waongo, wanafiki, wauaji, wabaguzi, wezi, mafisadi, zeros, wahuni, wachakachuaji, wapenda vita, waendekeza ngono wasioheshimu ndoa zao, waharibu vijana kwa kuwauzia viroba, dona. CCM itadumu daima!