Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
-
- #21
Nchi hii imejaa ma zombie sio mchezo! Hivi kwa nini taifa hili katika kipindi cha kama miaka 10 iliyopita uwezo wa kufikiri na kutenda wa watu wengi umeshuka sana au kupotea kabisa? Tena ni kipindi ambacho technolojia ya habari imekuwa kwa kiasi kikubwa sana kwamba huhitaji kuelimika kwa kusikiliza Radio Tanzania tuu bali ipo mitandao ambayo inatuzibua akili na kujua dunia ya nje inakwendaje, vituo vya TV vya ndani na nje vya kumwaga na litokealo kokote duniani tunalijua within seconds tuu?
Wapwa zangu nawaombeni msaada, sababu ni nini? BAK MANI zumbemkuu Elli tpaul na wengineo.
Halafu serekali inajisifu na brn kwenye elimu!
pumbavu kabisa. Ngoja nikae kimya kwanza
Wewe ndio umenisaidia kuipa nguvu kauli yangu. Uwezo wa kufikiri mdogo. Wewe unadhani mitandao maana yake ni JF na facebook tuu? Kama umesoma elimu ya juu au chuo chochote ungeelewa maana ya mitandao yaani websites. Siku hizi huhitaji mabox ya vitabu kuperuzi kutafuta kujua jambo bali unatumia mitandao kupata unachohitaji. Sasa wewe kama unabeba mabox ya vitabu basi uko nyuma sana na jukwaa hili halikustahili kujadili jambo.
SEHEMU YA TATU YA KATIPA PENDEKEZWA INAAINISHA MALENGO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIUTAMADUNI NA INASOMEKA HIVI;
13.-(1) Lengo la Katiba hii kiuchumi ni kujenga uchumi wa kisasa utakaowezesha wananchi na Taifa kujitegemea kwa kuzingatia matumizi ya elimu ya sayansi na teknolojia katika nyanja zote za uzalishaji mali kwa kuhimiza mapinduzi ya kilimo, ufugaji na uvuvi, mapinduzi ya viwanda na kujenga sekta muhimu ya nishati, mawasiliano na miundo mbinu.
Umechoookaaa na shule yako ya kuungaunga ya kwenye mitandao mvivu wa kufikiri unacopy na kupaste ukiambiwa utetee hoja unaishia kulia tu mapovu yanakujaa mdomoni tusifikishane huko unakotaka twende fikiri nje ya box kwani Libray zilizojengwa kwa gharama kubwa na vyuo vikuu, taasisi za utafiti,taasisi za Elimu na afya ni za nini we mburulaaa? unaonekana mzembe kweli na reference zako za mitandao, kama huna hoja kaa kimya.
Mleta maada ni Mburula
Jaribu kufikiria kwa mapana zaidi, acha uvivu wa kufikiri. Ina maana kwa kusoma hicho kifungo kama kilivyo ndo uwezo wako wa kufikiri umefika ukomo?
Sisiemu wanapenda sana vilaza kama wewe!
The Importance of Using InternetComputer Systems Technology | Computer Systems Technology
Hii inaweza kukusaidia kidogo. Do you think katika modern world mpango wa kujenga library kubwa kama soko la Kariakoo kwa ajili ya kuweka magunia ya vitabu utaendelea? Kasi ya kutafuta references katika internet na kufunua kurasa za vitabu inalingana? Hoja ya msingi ilikuwa kwa nini watu ni wajinga wakati namna ya kupata uelewa kwa kutumia mitandao (Internet) sasa hivi ni rahisi kuliko zamani? Kama umeshindwa kuelewa hilo unayo haki ya kuniita mbulula bibie Claudia Eliakimu.
hizi ID za march ni mwendelezo wa Lumumba Buku saba....zinaanzisha utitiri wa nyuzi na kuanza kutetea.....
The Importance of Using InternetComputer Systems Technology | Computer Systems Technology
hii inaweza kukusaidia kidogo. Do you think katika modern world mpango wa kujenga library kubwa kama soko la kariakoo kwa ajili ya kuweka magunia ya vitabu utaendelea? Kasi ya kutafuta references katika internet na kufunua kurasa za vitabu inalingana? Hoja ya msingi ilikuwa kwa nini watu ni wajinga wakati namna ya kupata uelewa kwa kutumia mitandao (internet) sasa hivi ni rahisi kuliko zamani? Kama umeshindwa kuelewa hilo unayo haki ya kuniita mbulula bibie claudia eliakimu.
Jaribu kufikiria kwa mapana zaidi, acha uvivu wa kufikiri. Ina maana kwa kusoma hicho kifungo kama kilivyo ndo uwezo wako wa kufikiri umefika ukomo?
Sisiemu wanapenda sana vilaza kama wewe!
hizi ID za march ni mwendelezo wa Lumumba Buku saba....zinaanzisha utitiri wa nyuzi na kuanza kutetea.....
mleta maada ni mburula
Nashangaa bado jirani zako hawajakuitia ambulance ukapelekwa Muhimbili au Milembe kupimwa akili, haiwezekani nabishana na mtu ambaye ni Abnormal, internet era imeanza zamani sana kwa developed countries ila kwako umeipokea juzi tu tena hata shule yenyewe ya kuungaunga hapo ulipo, kismu chenyewe umekopa hela ununue ili japo uingie FB na JF sasa leo unajifanya mjanja digital revolution sio kila kitu we mburula tumia akili!
claudiaeliakimu aka USISAHAU KUNICHUKIA nimekuelewa wewe ni mtu wa aina gani na wengine wenye maarifa pia watakuwa wamekuelewa katika ID zako zote. Kwa heri, hiki kisimu changu cha kukopa kisije ishiwa chargemaneno mengi akili sifuri!
claudiaeliakimu aka USISAHAU KUNICHUKIA nimekuelewa wewe ni mtu wa aina gani na wengine wenye maarifa pia watakuwa wamekuelewa katika ID zako zote. Kwa heri, hiki kisimu changu cha kukopa kisije ishiwa charge
UNA KAZI KWELI YA KUKARIRI IDs ZA WATU, ENDELEA NA KAZI HIYO UKAWA WATAKULIPA MSHAHARA KWA KAZI HIYO, LAKINI UNAONEKANA HUNA KAZI KWELI, BASI MI NAKUPA KAZI UISOME KATIBA INAYOPENDEKEZWA KISHA UJE NA HOJA ZENYE MANTIKI KULIKO KUPOTEZA MUDA KWA KUKARIRI IDs
Kumbe na hii ID nawe upo? Sikiliza mtu makini anapofanya mjadala na mtu ni lazima achunguze hao anaofanya nao mjadala. Wewe nawe pia pamoja na hayo majina niliyoyataja yakiniandama na kuniita majina ya ajabu wote mmejiunga tarehe 15/3/2015, hapo hata mtoto mdogo ataelewa.
Acha kabisa tabia za kitoto hizo, unajiunga na JF kwa malengo hayo? Wewe ndio huna kazi ya kufanya. Sie wengine toka enzi hizo JF ni sehemu ya burudani na kujifunza tusiyoyajua.