Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #21
Nchi hii imejaa ma zombie sio mchezo! Hivi kwa nini taifa hili katika kipindi cha kama miaka 10 iliyopita uwezo wa kufikiri na kutenda wa watu wengi umeshuka sana au kupotea kabisa? Tena ni kipindi ambacho technolojia ya habari imekuwa kwa kiasi kikubwa sana kwamba huhitaji kuelimika kwa kusikiliza Radio Tanzania tuu bali ipo mitandao ambayo inatuzibua akili na kujua dunia ya nje inakwendaje, vituo vya TV vya ndani na nje vya kumwaga na litokealo kokote duniani tunalijua within seconds tuu?
Wapwa zangu nawaombeni msaada, sababu ni nini? BAK MANI zumbemkuu Elli tpaul na wengineo.
You might be the one amongst!!