Ndiyooooooooo kwa Katiba pendekezwa!!!!!!!!

Sasa bila kuwepo kwa kipengele cha maadili kwenye katiba utawezaje kuwa na good economic base? Hasa kwa kuangalia uongozi wa kisiasa tulionao leo?


Naxon hujitambui na wala huelewi nchi yako inaelekea wapi ninawasiwasi unachangia kitu usichokijua hivi hujui Katiba Pendekezwa SURA YA NNE , Sehemu ya kwanza inazungumzia Maadili ya Uongozi na Utumishi wa Umma na Sehemu ya Pili ni Miiko ya Uongozi wa Umma kwa kukusaidia kasome kuanzia Ibara ya 28 hadi 31 utaona masuala yote ya maadili ya viongozi yameelezwa vizuri.
 
hizi ID za march ni mwendelezo wa Lumumba Buku saba....zinaanzisha utitiri wa nyuzi na kuanza kutetea.....


Umeshazidiwa na hoja zako mfu unaanza kulialia humu ndani ili uonewe huruma!
 

Kama unachunguza mtu unayefanya nae mjadala hapa umefuata nini??? nakuuliza wewe Chakaza na kihelehele chako ha ha ha ha ha nakuonea huruma ndugu tena pisha mbali kabisa kurukia hoja na mada usizokua na uwezo nazo utaumia au unafikiri JF ni shamba la bibi eeeee????
 
Umeshazidiwa na hoja zako mfu unaanza kulialia humu ndani ili uonewe huruma!

wewe masikini wa fikra,kibaraka wa mafisadi ,mchumia tumbo uliyekubuhu...unatetea rasimu ya chenge kwa kujitoa ufahamu eti hufahamu kwanini watu wanapinga rasimu ya chama...barbarian.
 
wewe masikini wa fikra,kibaraka wa mafisadi ,mchumia tumbo uliyekubuhu...unatetea rasimu ya chenge kwa kujitoa ufahamu eti hufahamu kwanini watu wanapinga rasimu ya chama...barbarian.
wala haunipi shida kwa kuwa haujielewi na haujui unalolifanya najua utaendelea kusema unayoyawaza akilini mwako lakini ukweli utabaki pale pale, inaelekea uko miongoni mwa wale wavivu wa kusoma,ungekua umeisoma katiba inayopendekezwa
ungeleta hoja tukapambana nakuacha kuropoka hueleweki na kama umetumwa waambie waliokutuma wajipange upya
 
tumeamua kuwekeza kwenye uchumi wa kisiasa... I say NO to katiba mpya
 
tumeamua kuwekeza kwenye uchumi wa kisiasa... I say no to katiba mpya



una haki ya kuchagua mwenyewe pa kuwekeza lakini sio kulichagulia taifa na watanzania na hizo fikra zako mufirisi,huna jipya na huijui dhana ya uwekezaji na hata hiyo siasa unayoisema huielewi unawaza kupinga kila kitu mpaka unajipinga mwenyewe na akilini zako za kushikiwa.
 

You missed a mickey out of my post!!

Actually i was questioning the reason ya kuwekeza kwenye political economy!! and I say NO!! to katiba pendekezwa

Hatuko tayari, we have lots of moving parts and there not even a single sign that we can synchronize any of them, afterall our experience with leadership transition shows that apart from it being peaceful, there is nothing else

Hayo ya Fikra mufilisi nakuachia wewe na upeo kimini!! As for uwekezaji, wanaonijua humu JF watakambia...

And wait, nimewachagulia watu/watanzania nini??? those were my eprsonal opinion, I stand on my feet sio wewe unayetumwa huku kuja kulesha shoddy messages ambazo hata wewe mwenyewe huzielewi...
 



UNa uchaguzi wa KUSEMA UNAYOYAWAZA what I see,reasoning capacity YAKO ni ndogo that's why u have functionless eyes and ears that you can't read ,SEE AND understand what is going on,una MAWAZO mbilikimo KWA ku-
generalize thinking ya WATANZANIA na kuifananisha NA YAKO it can't be read between the lines TAnzania ya sasa sio unayoijua kuna mabadiliko makubwa yamefanyika NA WEWE UNAYOYAWAZA that's why still UNAISHI HAPA Mbona hauondoki,synchronization approach unayoizungumza WEWE NI ipi HIYO?hayo Maendeleo UNAYOYAWAZA without peaceful situation in the country NI yapi and for what? ACHA kudanganya umma NA shule YAKO ya kuungaunga!I SAY STAY BACK FROM THIS TOPIC KAMA SIO SIZE YAKO.
 

wewe endelea kutetea rasimu maslahi kwa kuwa ndiyo umekuja hapa kwa ID Mpya na kazi maalum..kufikiria kwa tumbo ni kubaya sana...wazia vizazi vijavyo..sio kwenda chooni kesho na keshokutwa...mnang`ang`ania vitu visivyonaulazima...haraka ya nini wakati mambo ya msingi mmeyatoa?..BVR Njombe tu imewashinda na bado mnang`ang`aniza April kupiga kura..Nec wenyewe wameshashtukia uwezekano mkubwa wa zoezi kukwama...ila kwa kuwa watetea tumbo lako.endelea kung`ang`ania upate maslahi..
 
Inaonekana Huna Akili hata Chembe hata Mawazo yako finyu sana

mkuu,kuna ID nyingi zimejiunga mwezi huu wa march kwa kazi maalum ya kufanikisha katiba inaungwa mkono hapa jamvini..lengo ionekana rasimu ya Chenge inaungwa mkono na watu wengi .Sasa wameshtukiwa ..wanachofanya hawa ''march madness'' ni kuja na utetezi wa lete hoja ilimradi tu waendelee kulipwa...
 


hata UNGEKUA I'd ya zamani KWA using a UNAONGEA ingekupinga tu,unambiguous LETE HOJA ya musings unalopoka UNABAKI kwenye minor thing, nimeshakuambia JF SIO YAKO peke YAKO NA ndio kwanza Leo ujue, WATANZANIA kibao wanaingia NA kuchangia, ulitaka unayoyaongea NDIO yaprevail HUMU? UONGO wako NA majibu yako ya kukurupuka yaachwe bila kujibiwa? HIYO si JF ninayoijua Mimi Kama huwezi join
forum nyingine.
 



NIMEGUNDUA HUMU KUNA WATU VILAZA KWELI.KWANI JF UNAINGIA KUFANYA SHOPPING? Huku NI HOJA Kama umeishiwa tembea ACHA kulialia kutafuta HURUMA haha ha ha ha
 

endelea kutetea maslahi yako..maana hiyo ndiyo kula yako..lakini dhambi hii ya kutetea rasimu ya chenge itakuandama wewe mpaka kaburini...
 
endelea kutetea maslahi yako..maana hiyo ndiyo kula yako..lakini dhambi hii ya kutetea rasimu ya chenge itakuandama wewe mpaka kaburini...

tatizo lako hata huelewi unachangia nini? Au unataka kujionyesha ndani ya jf kuwa unachangia hoja maana umejaa laumu mpaka uso wako umekunjamana angalia usiwe mzee ghafla ukatangulia mwenyewe kaburini.
 
NIMEGUNDUA HUMU KUNA WATU VILAZA KWELI.KWANI JF UNAINGIA KUFANYA SHOPPING? Huku NI HOJA Kama umeishiwa tembea ACHA kulialia kutafuta HURUMA haha ha ha ha

kuendekeza tumbo kubaya sana...na hizi ID ambazo mwezi April zinakufa....tumbo baya...yaani njaa mbaya...
 

Attachments

  • njaa mbaya .PNG
    21 KB · Views: 157
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…