255mkombozi
Senior Member
- Apr 25, 2013
- 106
- 13
Huna lolote wewe kojoa ulale.
kamsomeee mumeo hiyo katiba ya chenge
Std7 failures go back to school, maana hata kusoma,kuandika na kuhesabu (3R's ua K3)inaoneka bado hjui vizuri.
Pole mwaju endelea kukalia ndimu ilo la ccm
Deliverence Inahitajika
Unaongea non sense umeamka usingizini na wewe unarukia mada usiyojua imetoka wapi unaleta vitisho vya elimu yako hapa JF kwa taarifa yako hatuihitaji peleka kwa familia yenu ikawasaidie na unaonekana wewe ni mchoyo huna mchango wowote kwa wazazi wako kula kulala!
Pole sijajua dawa imekuingia Std7, vumilia kwani ulitaka mwenyewe.
Ila nivema ukazingatia ushauri wangu,ujitahidi ili ufike shule za kata.
Huna kitu na unaonekana empty mind that's why uko na minor things hujielewi, mpaka sasa sijui unataka nini na una hoja gani? Au unataka kuongeza post tu humu ndani?
Haaa bado hujajua ninataka nini kwako? Ninyi ndiyo mnawasababishia watu wengine kutenda dhambi kwa kuuliza maswali yenye tungo tata.
Ukweli sitaki kitu toka kwako, ila uaeche kutumika na WENZAKO kwani ni dhambi.
Mwalla nimeshakshtukia na mitusi yako sio bure umetumwa na Freemanson, humpati mtu hapa.
CCM ndo chama Tawala unapoongea jitahidi kuja na suluhisho kuliko kukalia kuongea ndimu sijui nini mbona hatukuelewi kijana?
Usiwe na tabia kama mamba, baba mzima na ndevu kibao hutaki kujiheshimu uwe na staha kwa wana JF wenzio ndio ustaarabu.
pamoja na mmeo.
umeachwa na mumeo?
Tundu Lissu:-
Wanafki waseme ndio
Jibu ni kichwa cha thread