Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
SEHEMU YA TATU YA KATIPA PENDEKEZWA INAAINISHA MALENGO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIUTAMADUNI NA INASOMEKA HIVI;
13.-(1) Lengo la Katiba hii kiuchumi ni kujenga uchumi wa kisasa utakaowezesha wananchi na Taifa kujitegemea kwa kuzingatia matumizi ya elimu ya sayansi na teknolojia katika nyanja zote za uzalishaji mali kwa kuhimiza mapinduzi ya kilimo, ufugaji na uvuvi, mapinduzi ya viwanda na kujenga sekta muhimu ya nishati, mawasiliano na miundo mbinu.