Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
tatizo lako hata huelewi unachangia nini? Au unataka kujionyesha ndani ya jf kuwa unachangia hoja maana umejaa laumu mpaka uso wako umekunjamana angalia usiwe mzee ghafla ukatangulia mwenyewe kaburini.
kwa nini unaendekeza njaa zisizo na msingi.....???kwa nini unakubali utu wako kudhalilika....??kwa nini lakini?/..utatumiwa kama toilet paper kisha utatupwa...??ndiyo wavanyavyo waliokutuma...nipo hapa tangu 2011...id za namna yako zilikuwepo sana....baada ya kutumika zimeyeyuka kama barafu..
get back to your sense