Ndiyooooooooo kwa Katiba pendekezwa!!!!!!!!

Ndiyooooooooo kwa Katiba pendekezwa!!!!!!!!

Nyie vibaka wa lumumba mnaozaliwa leoleo hii ndio dwa yenu.. Vumilieni iwaingie polepole tu..


Mwalla Dawa unayo mwenyewe ni kukubali mabadiliko na kuacha kuongea ujinga unafikiri matusi wenzio hawayajui, tena usijaribu kabisa ukajikuta unasahau hata chumba chako cha kulala, MWALLA jiheshimu na uchunge domo lako!
 
we naona umekuwa mubishi sana kwanini huvumilii ikuingie.. Tuliaaa iingiee...


Kweli Mwalla umevuka mipaka wana JF inabidi tukusanye michango tununue dawa ya chooni tuje kuflash hilo domo lako, limejaa wadudu na matusi hongera kwa kuzaliwa Tanzania!
 
[font="]sehemu ya tatu ya katipa pendekezwa inaainisha [/font][font="]malengo ya kiuchumi, kijamii na kiutamaduni[/font][font="] na inasomeka hivi;

13.-(1) lengo la katiba hii kiuchumi ni kujenga uchumi wa kisasa utakaowezesha wananchi na taifa kujitegemea kwa kuzingatia matumizi ya elimu ya sayansi na teknolojia katika nyanja zote za uzalishaji mali kwa kuhimiza mapinduzi ya kilimo, ufugaji na uvuvi, mapinduzi ya viwanda na kujenga sekta muhimu ya nishati, mawasiliano na miundo mbinu.[/font]


kamsomeee mumeo hiyo katiba ya chenge
 
SEHEMU YA TATU YA KATIPA PENDEKEZWA INAAINISHA MALENGO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIUTAMADUNI NA INASOMEKA HIVI;

13.-(1) Lengo la Katiba hii kiuchumi ni kujenga uchumi wa kisasa utakaowezesha wananchi na Taifa kujitegemea kwa kuzingatia matumizi ya elimu ya sayansi na teknolojia katika nyanja zote za uzalishaji mali kwa kuhimiza mapinduzi ya kilimo, ufugaji na uvuvi, mapinduzi ya viwanda na kujenga sekta muhimu ya nishati, mawasiliano na miundo mbinu.

Std7 failures go back to school, maana hata kusoma,kuandika na kuhesabu (3R's ua K3)inaoneka bado hjui vizuri.
 
Na mwaka huu hakuna cha katiba ya chenge wala ya six... Na mtaenda na familia zenu tu kuipigia kurraaa ya ndio msalani lumumba.
 
Wafanyie dada zako hapo kwenu na mama yako ili wapate hiyo kitu.
Hivi Mwalla tangu ulivyolazwa milembe na kutoroka kabla ya kupona kumbe uliendelea na ukichaa wako. Kweli unastahili maombi ili pepo lako la mitusi likutoke. Na ndo mana ulichagua jina mwala kwa ajili ya mawazo yako mafupi kama kale kaigizaji ka Kenya. Ninyi mnaobani watu ako ka mwala hamkaoni na mitusi yake. Kaondoe mara moja kaje nikafundishe kuongea kwenye public.
 
Back
Top Bottom