Hili ni jukwaa la kiswahili! haya isiwe taabuHivi ukitaka kuagiza ndizi utumbo kwa kingereza utasemaje?
Waingereza hawali ndizi utumbo so wewe hata usiwe na wasi wasi maana hicho ni chakula cha waswahili kama mimi na wewe so hakuna hata siku moja utatakiwa ukitaje kwa kiingereza
Wazungu wanukula utumbo pia. Mfano Tripe served with mashed potato. Ndizi utumbo sawa tripe banana.