Ndizi Utumbo

Ndizi Utumbo

Hivi ukitaka kuagiza ndizi utumbo kwa kingereza utasemaje?
Hili ni jukwaa la kiswahili! haya isiwe taabu

"fresh banana with roasted.... Interstine"

utajaza utumbo gani, wa ngombe /kuku /mbuzi etc...
 
Waingereza hawali ndizi utumbo so wewe hata usiwe na wasi wasi maana hicho ni chakula cha waswahili kama mimi na wewe so hakuna hata siku moja utatakiwa ukitaje kwa kiingereza
 
Waingereza hawali ndizi utumbo so wewe hata usiwe na wasi wasi maana hicho ni chakula cha waswahili kama mimi na wewe so hakuna hata siku moja utatakiwa ukitaje kwa kiingereza

Wazungu wanukula utumbo pia. Mfano Tripe served with mashed potato. Ndizi utumbo sawa tripe banana.
 
Back
Top Bottom