Ndo dawa yake!

Ndo dawa yake!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Mtoto alikua akibishana na baba yake akisema 1+1=11, baba akamwangalia kisha akasema vizuri sana,akamtuma kununua mayai mawili,mtoto akaenda kununua,aliporudi akamwambia nipe moja lingne mpe kaka yako,wakaendelea kula,mtoto akauliza Mimi nakula nini? Baba akajibu kula tisa yaliobaki mjinga wewe*
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah Huyo mzee nouma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom