JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,770
Salaam wana JF,
Nimekaa nikatafakari sana juu ya asili ya maisha ya mwanadamu kuanzia tabia, lugha na utashi. Nikajipa jibu mimi mwenyewe huenda nikutokana na kurithi kutoka kwa wazazi wetu, jamii inayotuzunguka na mazingira. Sasa swali likanijia kuwa kama ndivyo hivyo, je? Watu wote wazima wakiwa extincted na wakabakia watoto wachanga chini ya mwaka mmoja ambao obvious watakuwa exposed katika mazingira ya kawaida ya sasa kama yalivyo, ni nini kitatokea?
NB:Tu assume na wanyama pia wasiwepo wakubwa, bali vichanga.
Karibuni wanajukwaa la intelligence .