Ndio mimiAnakua kuelekea wapi wakati huyu ni mtu mzima mwenzako sio Gen Z
Ukishindwa kuishi nao kwasababu hauna mental capacity ya kuhimili emotional maturity alivyo nayo.Tafuta uzoefu wa watu walioishi abroad au ambao wapo abroad, watakupa ukweli wa mtu mweupe. Wengine tulibahatika kuishi nao kidogo, tabia zao na akili zao ni ngumu kuziishi.
Ila kama unaweza unajiamini na unajitosheleza jaribu.
Hata hivyo karibu tena, naona ni jf ni kama vile upo ugenini, kila siku unaaga unaondoka, wenye nyumba wanaomba kila siku uondoke maana unawatia hasara tu, ila huondoki.
Ebu jionee huruma kuniita mimi mshamba!Nilisha kwambia uwe una tuliza kichwa hicho mshamba, sio kila sehemu unaleta matani ya kidwanzi.
This is not a place for drama. Nimekujibu maana nakuona bado huna maturity kujua sehemu ya kuweka trash talk ni wapi.Ebu jionee huruma kuniita mimi mshamba!
Wewe ndiye unatakiwa utulize kichwa unazeeka na uharisho kichwani.
Ushakua tambala la deki, kama huwezi kufanya kitu bora ukae kimya! Tokea unyimwe kua platinum memba unafanya mchezo wa kitoto kutishia kuondoka sekunde unarudi sasa sijui unamtingisha nani.
Drama unazileta wewe mwenyewe! Kwa mbwembwe ulizoondoka nazo jana ulitaka ukirudi tupige vigeregere badala ya kukuzomea kubwa jinga?This is not a place for drama. Nimekujibu maana nakuona bado huna maturity kujua sehemu ya kuweka trash talk ni wapi.
Makasiriko ya nini wewe?UNIKOME MPUUZI WEWE, nimekuuliza naona limekuingia unabaki kusema manipulations, nikufanyie manipulations wewe kitoto cha 2000 ili iweje, nimekuuliza kitu valid na wote wanaona hilo swali ni valid . Sitakujibu mashudu yako popote ukiandika, nilijua ni MPUUZI ila sikujua kwa kiwango hiki kuku we!
Issue ni kuwa unaye tapatapa kwa ujinga ni wewe. Sikuwahi kukuona kama timamu from the start nilipenda kuku entertain na drama for fun pekee.Drama unazileta wewe mwenyewe! Kwa mbwembwe ulizoondoka nazo jana ulitaka ukirudi tupige vigeregere badala ya kukuzomea kubwa jinga?
Hapa jf panaitwa mtakuja.!
Mnaniudhi mnavyomuita huyu ni mtoto wa buku 2! Huyu ni mtu mzima mwenzenu jamani hamna hamna kazaliwa 1990🤣UNIKOME MPUUZI WEWE, nimekuuliza naona limekuingia unabaki kusema manipulations, nikufanyie manipulations wewe kitoto cha 2000 ili iweje, nimekuuliza kitu valid na wote wanaona hilo swali ni valid . Sitakujibu mashudu yako popote ukiandika, nilijua ni MPUUZI ila sikujua kwa kiwango hiki kuku we!
Bado naona hujawa na maamuzi mpaka sasa, jipe muda na tafakuri ya kutosha, mwanamke ni mwanamke tu. Wewe ndio una nafasi ya kumfanya awe vile unavyotaka. Nilishawahi kuwa na mzungu hakuna kitu bhana wee kama utaoa ili kufurahisha watu sawa lakini kama utaoa mwanamke ambaye atakuwa mzazi wa watoto wako na mke wako basi tuliza akili tu.Mnapiga indigenous? Ila mbona kuna watunwanazichapa hizo indigenous na hawalalamiki? Mm ninaexperince na machotara na wako njema tu.
Yaani wewe ndiye unaniona mimi chizi!?😂🙌Issue ni kuwa unaye tapatapa kwa ujinga ni wewe. Sikuwahi kukuona kama timamu from the start nilipenda kuku entertain na drama for fun pekee.
Uliza waliooa wazungu wakupe habari zao mzee. Ila kwa vile una nia ya kuishi nao, go ahead kila mtu si anaishi anavyotaka.Ndio mimi
Ukishindwa kuishi nao kwasababu hauna mental capacity ya kuhimili emotional maturity alivyo nayo.
Na ukaona urudi kwa hao hao vichomi maana that's where you truly belong. Kupigana matukio na kuviziana mmoja ajichanganye
Spana zipo wapi? Hapa naongea nikiwa kwenye reli wewe mwenyewe unaelewa!Unachekesha sana, kumbe spana zikikuingia huwa unakuwa kichaa?
Acha kutetea kitu unacho kijua fika ni kweli..Bado naona hujawa na maamuzi mpaka sasa, jipe muda na tafakuri ya kutosha, mwanamke ni mwanamke tu. Wewe ndio una nafasi ya kumfanya awe vile unavyotaka. Nilishawahi kuwa na mzungu hakuna kitu bhana wee kama utaoa ili kufurahisha watu sawa lakini kama utaoa mwanamke ambaye atakuwa mzazi wa watoto wako na mke wako basi tuliza akili tu.
Wanawake ni walewale tofauti ni utaifa na rangi ya ngozi lakini ndio walewale tu.
Kijana haujui kuwa maji anayotaka kunawia uso , sisi tulitawazia kabisaHajui huyu Kijana tumeshapitia huko
Sio uongo, huku ndio nastahili zaidi, tabia zao na zangu zinaendana, tamaduni pia, sikutakiwa kujitune kwa tamaduni za mtu mwingine.