Mimi namjibu isanga family, wewe unamuongelea hziyech22Huyo unayemjibu nahisi ndio mleta mada mwenyewe,hua anatumia nguvu kubwa sana kumtetea mleta mada,
Halafu unamkuta kwenye kila mada ya hicho kitoto anakitetea! au ni watu wanao fanana akili.
Na wewe ndiye mshamba unaye dhani kila mtu ata buy kwenye undezi wako?Nilishawahi kukuambia mleta uzi , vyovyote utakavyofanya humu wewe utaonekana ni KITUKO aka TAMBALA LA DEKI. Kaa kwa tulia tu maana ulishaingia kwa mbwembwe na drama nyingi 🤣
Walikuwemo wa kina Chief Godlove walikimbia humu na wewe unachoambulia humu ni za uso tu
Uzi wa kuaga alisema ''Sitanii ila nataka hii post iwe ndio funga kazi''Sasa chief godlove ndo huyu de gunner kama ulikua hujui
Stick kwenye madaKila siku unaaga humu ulifikiri una umuhimu sana humu?
Umejiona Pimbi tu ukarudisha vikalio vyako humu,
Watu wamesha kuona kua wewe ni hamnazo,unahitaji matibabu,unafungua uzi halafu unagombana na kila mchangiaji!
Lini tena una anzisha Uzi mwingine wa kutuaga?
Kuna ule uzi wa "final goodbye"Uzi wa kuaga alisema ''Sitanii ila nataka hii post iwe ndio funga kazi''
Halafu kanajirudisha humu na kujitetea!
Ni vichaa wenzake tu ndio watasema hakuaga kuondoka humu.
Mkuu,ChiefGodlove ndio huyo huyo,mwanzo alijiita Christopher5Nilishawahi kukuambia mleta uzi , vyovyote utakavyofanya humu wewe utaonekana ni KITUKO aka TAMBALA LA DEKI. Kaa kwa tulia tu maana ulishaingia kwa mbwembwe na drama nyingi 🤣
Walikuwemo wa kina Chief Godlove walikimbia humu na wewe unachoambulia humu ni za uso tu
Latin American k zao ziko vizuri hao wenye ubaridi ni wazungu wa ki BritishNi za baridi kama pua ya mbwa , onja fanya ukaonje , utakuja na majibu hapa
Ni kweli na inakusaidia kuyaona mahusiano katika lens kubwa. Watu wengi wanaishi kwa mazoea na wengine wanajua ukweli ila bado wanakaza mafuvu tuIn my early twenties niliwahi kuunguzwa na demu ambaye nilimpa trust 100%, yale maumivu yalikuwa makali sana ,nafikiri it took me 5 years to recover, ila nikiangalia nyuma nashukuru kilichotokea
Kwahy hapo hayupo active kama mwanzo?Ila si alisema atakuwa kando kwa muda na hata akirudi atakuwa sio active kama mwanzo jaribu kusoma upya andiko lake
Mbona atachoka sana aisee 🤣Sasa chief godlove ndo huyu de gunner kama ulikua hujui
Hii comment iwekewe laminationNjaa haijawahi kunusuru utimamu wa watu
Usitarajie kupata mwanamke timamu kwenye njaa
Wananuka haoo 🤣Mkuu Latin America na wa Asia machotara ni amsha sana. All in all race sio kigezo mwili huwa na tendency ya ku adapt na mazingira
Mkuu unajua kitu nilicho kipata based on this? Hasa hii ID yangu? Nimegundua namna bora na nzuri ya kuja kuwa the GOAT by 2040Mbona atachoka sana aisee 🤣
Waru humu wanamuelekeza kutokana na uzoefu wao yeye naye huwa anajifanya mjuaji aisee anaweza akaumwa huyu au kukonda na dipreshen
Wewe ume quote huo uzi wa mwisho na umesema imekuaje amerudi jf wakati yeye ajasema kwamba harudi tena mwisho wa siku yeye kurudi au kutorudi ni maisha yake binafsi jikiteni mada aliyoiletaKuna sehemu yeyote ile kwenye hiyo post yangu uliyo iquote nimeelezea jinsi nilivyo muelewa? unaweza kuweka hapa hayo maneno nilivyo sema jinsi nilivyo muelewa?
Kuna sehemu nimesema kua ujumbe haupo clear?
Jipe muda kwanza na usome Nyuzi zake zote za kuaga humu.
Buda hata usijisumbue, these mfs know the truth ila wanakalia kujibebisha kwangu wakidhani nitaendelea kuwapa energy. Anachekesha sana.Wewe ume quote huo uzi wa mwisho na umesema imekuaje amerudi jf wakati yeye ajasema kwamba harudi tena mwisho wa siku yeye kurudi au kutorudi ni maisha yake binafsi jikiteni mada aliyoileta