The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hivi unajielewa kweli wewe? kwenye comment yangu #18 uliyoiquote kuna jambo lolote nimesema zaidi ya kupandisha huo uzi wake tu?Wewe ume quote huo uzi wa mwisho na umesema imekuaje amerudi jf wakati yeye ajasema kwamba harudi tena mwisho wa siku yeye kurudi au kutorudi ni maisha yake binafsi jikiteni mada aliyoileta
Wewe JF yote imesha kuona kua ni hamnazo,ni vichaa wenzako wachache sana tu ndio waliobaki wanaokuona upo sawa coz una fanana nao akili.Buda hata usijisumbue, these mfs know the truth ila wanakalia kujibebisha kwangu wakidhani nitaendelea kuwapa energy. Anachekesha sana.
Bora dada umenisaidia anataka kutugombanishaMimi namjibu isanga family, wewe unamuongelea hziyech22
It is so sad ila huyo fadha aliona mbali zaid, japo hakujua the mechanics behind the trouble na nimejaribu kugusia kwenye hii mada. Na watu wengi wanachimbia vichwa chini kujaribu kukimbia ukweliHuyu jamaa ameongea kitu ambacho kinaukweli 100% anaebisha arudi kwenye biblia mwanamke ni kiumbe dhaifu mda wowote anakubadilikia mimi kuna fadha mmoja aliniambia kijana ukija kuona ukazaa na mwanamke watoto watatu au wawili hapo anza kijitenga kabisa kwasababu mapenzi kwako hayapo na kinachofaata atatamani ukufe tu kama anajiweza.
Ndio na mimi namuongelea huyo huyo Isanga,Mimi namjibu isanga family, wewe unamuongelea hziyech22
Kulikuwa na haja gani ku screenshot Uzi wake ikawa humaanishi ninachokisema maana hiyo Jf VAR ni kufanikiwa uongo wakeHivi unajielewa kweli wewe? kwenye comment yangu #18 uliyoiquote kuna jambo lolote nimesema zaidi ya kupandisha huo uzi wake tu?
Wewe ni mchepuko wa huyo mleta mada? mbona kama hasira zako unaniletea mimi?
Itsya life dogo.Hauwezi kuja na hii mentality na uongo wa nje nje kujaribu kuni manipulate na kudanganya jukwaa kizbe namna hiyo..
Na issue sio kwamba nakimbia, ninachagua upande usio na vigeu geu, usio na watu wenye lack mindset. Najua ulitaka niingie mkenge eti wanawake wote wako vile vile.
Uko sahihi, katika angle nyingine ila katika dhana ya mahusiano mmezidiwa parefu kinyama.
Imekuaje Tena jamani ???si tulikubaliana hapa jukwaani amni na upendo vitawale.🤣UNIKOME MPUUZI WEWE, nimekuuliza naona limekuingia unabaki kusema manipulations, nikufanyie manipulations wewe kitoto cha 2000 ili iweje, nimekuuliza kitu valid na wote wanaona hilo swali ni valid . Sitakujibu mashudu yako popote ukiandika, nilijua ni MPUUZI ila sikujua kwa kiwango hiki kuku we!
Wapo ndio sijakataa nilicho sema ni probability ya kumpata kwa wenzetu ni ndogo sana, na sio kwamba huko hawapo wapo wengi sana.Itsya life dogo.
Leta huyo wifi mthungu si hatuna shida.Tutatamba nae.
Ila amini nakwambia go east go west mwajuma ndala ndefu binti kausha damu hata pale manhatan yupo.
Haha hata huko kwa foreigners Kuna wanawake wa hovyo kama hapa bongo tu..ni swala tu mtu ubahatishe partner sahihi (huku na wewe uki strive kuwa a right partner) ephen_
Nakazia hapa.Tatizo sio rahisi kujua au kuamini unayempenda anaweza kukugeuka 360😁, na kuoa foreigners sio solution wote sawa tuu ingawaje wenzetu wako open sana na wanachofanya
Wanao lizagwa hasa hasa ni macelebrity maana huwa wanakuwa na ulimbukeni sana, huwa wanaoa right partner ila wanaishia kuruka na mademu wa nje na kuwafanya wake zao ku file divorceNakazia hapa.
Tena bora wa kiafrika akikuchoka anakuacha kimyakimya anakimbilia mwanaume mwingine na wewe unavuta mwanaume mwingine.
Mwanamke wa ulaya akikuchoka anakuburuza mahakamani anachukua kila kitu kilicho chako kuanzia assets hadi akaunti zako za benki zinachukuliwa anakuacha kama ulivyozaliwa unabaki chokoraa hata nguvu ya kupata mwanamke mwingine hutokuwa nayo.
Kwa hiyo Afrika bado kuna unafuu mara 100 kuhusu ishu ya mahusiano.
Na kitu kingine ukioa Ulaya jinsi utakavyopelekeshwa wewe ndio unakuwa umeolewa,baada ya kutoka kazini anakwambia wahi nyumbani ukapike,hakikisha nyumba iwe safi,ukimaliza hizo kazi za ndani ningoje sebuleni usitoke kwenda popote hadi nirudi.
Hivi unajua maana ya screenshot? ni wapi mimi nimetuma screenshot?Kulikuwa na haja gani ku screenshot Uzi wake ikawa humaanishi ninachokisema maana hiyo Jf VAR ni kufanikiwa uongo wake
Ushauri wangu,oa mwanamke mwenye kipato chake.Huyo akisema nakupenda atamaanisha ila sisi tunaotumia hela ya mboga kuchezea vikoba ndo hao usiowataka.
Mwache akalete mwajuma ndala ndefu wa kizungu.We jamaa madada zetu waolewe na nani sasa...
Even if you marry an allien tutampokea na kumpenda wifi yetu huyo ila amini nakwambia wanaofake love for money wamejaa kote duniani na wenye mapenzi ya kweli wapo kote duniani.Wapo ndio sijakataa nilicho sema ni probability ya kumpata kwa wenzetu ni ndogo sana, na sio kwamba huko hawapo wapo wengi sana.
I will surely marry an outsider
Nani anaye taka kuishi na mwanamke asiye mpenda? Nani asiye taka kupendwa?Kilio cha wanaume wengi humu ni sababu wanatafuta upendo kutoka kwa wanawake, ambao ni mgumu kuupata kwa hii dunia ya leo..Yani wanategemea kiasi kile kile cha upendo na kujitoa wanachotoa kwa wake zao, na wao wapate kile kile au kinachokaribiana na kile prida