Tafuta pisi Kali, mtongoze akikukubali muoe, muingilie akupe uzao, ukianza kuwaza mengine utajikuta 45 years huna mtoto wala mke..sababu ukitumia logic utaona almost kila mwanamke hafai ana ulterior motivesNani anaye taka kuishi na mwanamke asiye mpenda? Nani asiye taka kupendwa?
Ni mgumu kwa sababu watu wengi hawako keen kujua mzizi wa fitna uko wapiTafuta pisi Kali, mtongoze akikukubali muoe, muingilie akupe uzao, ukianza kuwaza mengine utajikuta 45 years huna mtoto wala mke..sababu ukitumia logic utaona almost kila mwanamke hafai ana ulterior motives
Otherwise uwe na ukaribu na Mungu akuoneshe mke sahihi..haya mambo kwa macho ya damu na nyama ni ngumu kuyapatia de Gunner
Mbona unarudia tulicho kwisha kukizungumza dada mzuri?Even if you marry an allien tutampokea na kumpenda wifi yetu huyo ila amini nakwambia wanaofake love for money wamejaa kote duniani na wenye mapenzi ya kweli wapo kote duniani.
Fuatilia vizuri mkuu au ulizia kwa wakongwe watakueleza usije ukaangukia pua.Wanao lizagwa hasa hasa ni macelebrity maana huwa wanakuwa na ulimbukeni sana, huwa wanaoa right partner ila wanaishia kuruka na mademu wa nje na kuwafanya wake zao ku file divorce
Angalia ndoa za watu wanaojielewa zinavyo dumu.
Wanafanya vile ili kuwa tumia tu mkuu, tena hao huwa ni wazee ukute kashafiwa na mke wake halisi anatafuta kigori cha kiafrika na mali anaandika watoto wake.Fuatilia vizuri mkuu au ulizia kwa wakongwe watakueleza usije ukaangukia pua.
Nimewahi kukutana na wazungu ni wazee wa miaka 55-60 ila wako singo na wanaogopa kuoa tena baada ya kupigwa na kitu kizito.
Wewe hujastuka kwa nini kuna wazungu wengi wanaoa mademu wa kiafrika hasahasa Kenya na kuachana na wazungu wenzao?
Haya buana.Mbona unarudia tulicho kwisha kukizungumza dada mzuri?
Huyu tunae 😅
Huyu tunae 😅
Ameaga mara nyingi sana mkuu, ana nyuzi nyingi sana za kusems kwaheri jf, ameinanga ssna jf na watumiaji wake, kwamba ni mtandao wa watu average sana.But kwenye ule Uzi wake alisema nimnukuu "Nitakuwa kando kwa muda" na akasema pia hata nikijakuingia tena haitakuwa active kama mwanzo sijaona sehemu kasema harudi tena unamlinga maneno mbona kiswahili ni lugha nyepesi sijui hamkumuelewa
Kwa hiyo mkuu unataka kusema mimi nina pitia mapito? 😂 Aisee..Ameaga mara nyingi sana mkuu, ana nyuzi nyingi sana za kusems kwaheri jf, ameinanga ssna jf na watumiaji wake, kwamba ni mtandao wa watu average sana.
Ila kwangu hata sio issue, kila mtu ana mapito yake na namna ya kuyahimili.
Hakuna binadamu asiyepitia changamoto.Kwa hiyo mkuu unataka kusema mimi nina pitia mapito? 😂 Aisee..
Mwamba una hasira shemeji kakunyima unyumba Nini?Hivi unajua maana ya screenshot? ni wapi mimi nimetuma screenshot?
Kwahiyo wewe umejipa kazi humu ya kutafsiri malengo ya post za watu kwa tafsiri unazo zitaka wewe tu sio?
Kwa akili hizi ndio maana kumbe ulibase zaidi kwenye uchawa wa WCB coz hizo post hazihitaji akili kubwa.
Naona umetoka kwenye point na kurukia mambo mengine baada ya kugundua ujinga wako.Mwamba una hasira
Nipe wewe.sheneji kakunyima unyumba Nini?
nimefurahi kukuona mankaSawaa