Ndo maana watu wanakimbilia uchawi

Ndo maana watu wanakimbilia uchawi

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,541
Reaction score
2,487
Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo.

Just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa, yaani mimi ni ndo mhanga na haki yangu siipati.
 
Haya maisha bana,ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo ….just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa yaani mimi ni ndo mhanga na haki yangu siipati.
Sawa wakikusumbua tena utuambie .
 
Back
Top Bottom