Ndo maana watu wanakimbilia uchawi

Ndo maana watu wanakimbilia uchawi

Mbona unachanganyikiwa?

Unawezaje kwenda kutafuta HAKI Kwa mganga?

Unamuacha Yesu aliye mfalme wa AMANI na HAKI Kisha unaenda gizani kutafuta Nuru?
 
Hapana si changanyikiwa bali ndo uhalisia
 
Hii misemo huwa naichukia aise, cjui mpumbavu gani kaileta!!.
Andika wewe msemo wako au ushauri wako kwa mleta mada ili tukusome,
JF ni jukwaa huru,kila mtu anatoa mawazo yake,hatupangiani na wala hatufanani.
 
Hapana si changanyikiwa bali ndo uhalisia
Sasa ikiwa Giza ndilo chanzo Cha wewe kuwa matatizoni,

Iweje ufikiri kutafuta msaada Toka gizani Badala ya Nuruni?

Tafuta suluhu na Mungu wako Ili upate msaada wa Kweli na udumuo.
 
Mdharau Asili hufa kikatili.
Tafuta sehemu yenye utulivu sana pafanye papendeze kwaharufu nzuri naiwe kanakwamba unawageni unawakalibisha.
Kaa kitako mkao mmoja utakao kufanya uwe relax sana.
Omba kwa lugha ya kwenu omba kanakwamba unacho kiomba unakiona nahauna shaka kinakuskia.
Yani nikiwa namaana kwamba hisia zako ziwe kubwa kanakwamba unae mpa mararamiko yako unamuona na anakuskia kwa umakini sana.
Toa machozi kwamuda usio pungua dakika25 ukiomba haki unayo dhani unastahili kabisa kuipata.
Utanishukuru sana.
 
O

Lugha ya kwetu siijui
 
Back
Top Bottom