Sawa wakikusumbua tena utuambie .Haya maisha bana,ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo ….just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa yaani mimi ni ndo mhanga na haki yangu siipati.
Soluhushisho ni nn
Ulihitaji kipi hasa kifanyike mkuu ili kesi yako isiendelee kukusumbua
Ulivyo kauka sasa kama kweli vile 🤣🤣🤣
Kesi imeisha ila hukumu hawataki kunipa
Je miezi imeshatimia?Miezi miwili