figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Laki na nusu siku nne, watu wanaachiwa af 20 na mtu hajulikani anarudi lini, wanawake wengine hawatumii akili, hapo angenunua zake kilo mbili nyama, kuku wawili, samaki kilo mbili najua mchele na unga maharage viko ndani, anamaliza wiki hapo na kama wako wachache hadi wiki naa hapo zinazobaki sasa hapo unajidai na hauzitumii mpaka uone amerudi kwa hiyo unauhakika wa maisha yako na watoto kama unaoLeo naona kidogo afadhali naweza toa tisini hahaha! niliwahi kuitwa kusuluhisha wanandoa mume kaacha laki unusu safari ya siku 4 mke akanunua perfume ya laki baada ya siku mbili kapiga simu hela imeisha.
Shostito Bronty sio kila mwanamke ana akili kihivi...kuna uncle wangu huwa tunamuenjoy akileta malalamiko ya mke wake home,tunamwambiagaa 'wakati Mungu anawaita wanaume waje wachague wake wewe ulichagua kabati' ..Yaani huyo aunt yangu hajuagi hata kununua vyombo vya jikoni ye ni nguo tu hadi noma yaani.Laki na nusu siku nne, watu wanaachiwa af 20 na mtu hajulikani anarudi lini, wanawake wengine hawatumii akili, hapo angenunua zake kilo mbili nyama, kuku wawili, samaki kilo mbili najua mchele na unga maharage viko ndani, anamaliza wiki hapo na kama wako wachache hadi wiki naa hapo zinazobaki sasa hapo unajidai na hauzitumii mpaka uone amerudi kwa hiyo unauhakika wa maisha yako na watoto kama unao
Heee yamekuwa hayo
yamekua haya ndg yangu.mwenzio nmechoka.akiona hela ndo siku hiyo anatabasamu.mia
Leo naona kidogo afadhali naweza toa tisini hahaha! niliwahi kuitwa kusuluhisha wanandoa mume kaacha laki unusu safari ya siku 4 mke akanunua perfume ya laki baada ya siku mbili kapiga simu hela imeisha.
Shostito Bronty sio kila mwanamke ana akili kihivi...kuna uncle wangu huwa tunamuenjoy akileta malalamiko ya mke wake home,tunamwambiagaa 'wakati Mungu anawaita wanaume waje wachague wake wewe ulichagua kabati' ..Yaani huyo aunt yangu hajuagi hata kununua vyombo vya jikoni ye ni nguo tu hadi noma yaani.
Mleta mada a.k.a Mia,ukikutana na wa hivyo u have to think twise before moving to a ahigher level,kuna siku utalazwa njaa hela imenunua kiatu ooooho!
Hahahahaaaa! Mipango si matumizi na nyie muache kutongoza kwa ahadi za vitu!
umewashika pabaya lakini umekaa kibahili bahili pia
akishaona noti utaskia dia,darlin mara sweetpotatoe hadi anjisahau anakuita SWEETHEART LOTION
pole sana kwa kuingia choo cha watoto. Huyo hafai hata kidogo.
Mia acha uchoyo basi, mbona hivo, kuombwa pesa za salon imekuwa shida
mkuu unataka kusema kutongoza kwa ahadi ndo kinafanya wanawake wawe na tamaa?mia