Ndo maana waume/mabwana zenu wanaficha hela

Ndo maana waume/mabwana zenu wanaficha hela

kweli kuwa uyaone ndio maana wakaanza na hii kitu ..no money no love..

ndeti...hiyo ni misemo ya machangudoa.ingekua hivyo njiwa asingekuwa na mpenzi.kwani njiwa anatoa wapi hela?mapenzi ndo kila kitu pesa kisuuzio tu.mia
 
Shostito Bronty sio kila mwanamke ana akili kihivi...kuna uncle wangu huwa tunamuenjoy akileta malalamiko ya mke wake home,tunamwambiagaa 'wakati Mungu anawaita wanaume waje wachague wake wewe ulichagua kabati' ..Yaani huyo aunt yangu hajuagi hata kununua vyombo vya jikoni ye ni nguo tu hadi noma yaani.

Mleta mada a.k.a Mia,ukikutana na wa hivyo u have to think twise before moving to a ahigher level,kuna siku utalazwa njaa hela imenunua kiatu ooooho!
Maisha yalivo magumu mtu akiwa anasaidia family yapaswa kumsapoti kumuonyesha unajali wengine hawawazi hilo
 
mkuu mwenyewe sometimes huwa nafunguka.lakini napenda kuona mpenzi wangu akiishi maisha halisi pale inapo bidi.siyo eti kwa sababu husninyo kanunua kiatu na yeye atake kiatu kama cha husninyo bila kufikiri husninyo kapataje kile kiatu.mia

Hilo nalo neno! Kuishi kwa kuiga iga sio issue kabisa!
 
hahaha kila la heri mkuu tumika sawa2
 
Hawa wanawake zetu wa kibantu akipata bwana ni kama amepata muwekezaji bila kujali hata masharti atakayotoa huyo muwekezaji na ndio maana mwisho wao huwa mbaya. Nawaasa wabadilike, kama mapenzi peke yake hawayawezi basi watulie wasije kuharibu mustakabala wa maisha yao ya baadaye.
 
Mia acha uchoyo basi, mbona hivo, kuombwa pesa za salon imekuwa shida
Tena sister hilo la saloon usilitumbukize hapa litazua tafrani sasa hivi mana suala hili linavyotucost wallah huko mbele inabidi wote tunyoe tu kwa kweli. ishia hapo hapo.
 
kwa hiyo hata kama huna hela nikukumbushe ahadi zako? kama hutaki kutoa hela usiahidi basi. na huyo dada anae kwambia usipo mpa hela maana yake humpendi achana nae, ni malaya tu ila anakupa deni kimpango na wakati unazo anataka umlipe. she puts a price to her feelings, she is a bitch!
 
habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo mnataka litatuliwe siku hiyo la sivyo hakuna unyumba.halafu kuna kikauli fulani kinanikela..!!.eti "usiponipa hela leo ntajua hunipendi".kwangu ukisema hivyo ndo umelikoroga,sikupi hata shilling kumi.ponguzeni tamaa,saa nyingine ile hela inakuwa ya office,ya kulipa deni au nimemshikia mtu.musiwe wa kulaumu.mia


Figganigga
Na nyie nanyi
  • Kama mnajua ni ya deni au kazini, why do you flaunt it then?
  • Pili kama unajua huwezi kutimiza, shouldnt you avoid making false promises to begin with?
 
Timiza wajibu wako wa kumpatia mahitaji yake muhimu ikiwamo hela,na kuhakikisha anapendeza na kujisikia fahari kuwa nawe, wala hata akiziona hatakuomba kwani anajua utampatia tu.
 
Ukimwelewesha kistaarabu kwamba hizi hela zina kazi na mtumizi yake atakuelewa, Lakini inaonyesha wewe unamwambia kwa ukali" Hv wewe kila ukiona hela unaeleza shida tu hujui siyo zangu" halafu unakasirika unaondoka
 
Tena sister hilo la saloon usilitumbukize hapa litazua tafrani sasa hivi mana suala hili linavyotucost wallah huko mbele inabidi wote tunyoe tu kwa kweli. ishia hapo hapo.

umeongea point mkuu.haya mabo ya salon yanakosesha amani ndani ya nyumba kwa watu wengi tu.mia
 
Hawa wanawake zetu wa kibantu akipata bwana ni kama amepata muwekezaji bila kujali hata masharti atakayotoa huyo muwekezaji na ndio maana mwisho wao huwa mbaya. Nawaasa wabadilike, kama mapenzi peke yake hawayawezi basi watulie wasije kuharibu mustakabala wa maisha yao ya baadaye.

una akili sana mkuu.umeongea point sana.mia
 
Back
Top Bottom