figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #21
kweli kuwa uyaone ndio maana wakaanza na hii kitu ..no money no love..
Maisha yalivo magumu mtu akiwa anasaidia family yapaswa kumsapoti kumuonyesha unajali wengine hawawazi hiloShostito Bronty sio kila mwanamke ana akili kihivi...kuna uncle wangu huwa tunamuenjoy akileta malalamiko ya mke wake home,tunamwambiagaa 'wakati Mungu anawaita wanaume waje wachague wake wewe ulichagua kabati' ..Yaani huyo aunt yangu hajuagi hata kununua vyombo vya jikoni ye ni nguo tu hadi noma yaani.
Mleta mada a.k.a Mia,ukikutana na wa hivyo u have to think twise before moving to a ahigher level,kuna siku utalazwa njaa hela imenunua kiatu ooooho!
mkuu mwenyewe sometimes huwa nafunguka.lakini napenda kuona mpenzi wangu akiishi maisha halisi pale inapo bidi.siyo eti kwa sababu husninyo kanunua kiatu na yeye atake kiatu kama cha husninyo bila kufikiri husninyo kapataje kile kiatu.mia
Samahani hapa niko wapi vile??
Hahahahaaaa! Mipango si matumizi na nyie muache kutongoza kwa ahadi za vitu!
Mbona tunatoa kura yetu kwa ahadi kila uchaguzi ? na kinadada inabidi muende hivo hivo kiahadi,zingine zinatimia zingine mnamezea.mkuu unataka kusema kutongoza kwa ahadi ndo kinafanya wanawake wawe na tamaa?mia
Tena sister hilo la saloon usilitumbukize hapa litazua tafrani sasa hivi mana suala hili linavyotucost wallah huko mbele inabidi wote tunyoe tu kwa kweli. ishia hapo hapo.Mia acha uchoyo basi, mbona hivo, kuombwa pesa za salon imekuwa shida
habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo mnataka litatuliwe siku hiyo la sivyo hakuna unyumba.halafu kuna kikauli fulani kinanikela..!!.eti "usiponipa hela leo ntajua hunipendi".kwangu ukisema hivyo ndo umelikoroga,sikupi hata shilling kumi.ponguzeni tamaa,saa nyingine ile hela inakuwa ya office,ya kulipa deni au nimemshikia mtu.musiwe wa kulaumu.mia
Not that much......bt mind u, ukienda kimaterial material utapendwa kimaterial material!
Tena sister hilo la saloon usilitumbukize hapa litazua tafrani sasa hivi mana suala hili linavyotucost wallah huko mbele inabidi wote tunyoe tu kwa kweli. ishia hapo hapo.
Hilo nalo neno! Kuishi kwa kuiga iga sio issue kabisa!
kitandani/mezani na kisimu chako/kicomputer!
Hawa wanawake zetu wa kibantu akipata bwana ni kama amepata muwekezaji bila kujali hata masharti atakayotoa huyo muwekezaji na ndio maana mwisho wao huwa mbaya. Nawaasa wabadilike, kama mapenzi peke yake hawayawezi basi watulie wasije kuharibu mustakabala wa maisha yao ya baadaye.