figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #41
kwa hiyo hata kama huna hela nikukumbushe ahadi zako? kama hutaki kutoa hela usiahidi basi. na huyo dada anae kwambia usipo mpa hela maana yake humpendi achana nae, ni malaya tu ila anakupa deni kimpango na wakati unazo anataka umlipe. she puts a price to her feelings, she is a bitch!
Figganigga
Na nyie nanyi
- Kama mnajua ni ya deni au kazini, why do you flaunt it then?
- Pili kama unajua huwezi kutimiza, shouldnt you avoid making false promises to begin with?
Ukimwelewesha kistaarabu kwamba hizi hela zina kazi na mtumizi yake atakuelewa, Lakini inaonyesha wewe unamwambia kwa ukali" Hv wewe kila ukiona hela unaeleza shida tu hujui siyo zangu" halafu unakasirika unaondoka
Hapa Umegonga jukwaa la wakubwa jibaba.
Mimi mshahara wangu anaujua Mungu tu. mia
habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo mnataka litatuliwe siku hiyo la sivyo hakuna unyumba.halafu kuna kikauli fulani kinanikela..!!.eti "usiponipa hela leo ntajua hunipendi".kwangu ukisema hivyo ndo umelikoroga,sikupi hata shilling kumi.ponguzeni tamaa,saa nyingine ile hela inakuwa ya office,ya kulipa deni au nimemshikia mtu.musiwe wa kulaumu.mia
Jibaba faranga inasumbua but damu na mwili , pamoja sana. miamkuu umeadimika sana.maisha yanatupeleka speed hadi tunasahauliana.lakini 2po pa1 sana.mia
Jibaba faranga inasumbua but damu na mwili , pamoja sana. mia
mkuu nmekusoma na mawazo yako nayaheshimu sana.kwa hiyo bora mtu aendelee kubadilisha mahabubaz hadi atakapo pata anayefaa.uongo?mia
Dah! sweetheart inaonekana una password kabisa ya hii idara.huyu mwanamke natamani nimuone nimpe darasa wenzie tunavyotumia hela ya matumizi ya ndani na bado inabaki ya kununulia ka tofali......uchaga huu.....hahahaha
Dah! sweetheart inaonekana una password kabisa ya hii idara.
habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo mnataka litatuliwe siku hiyo la sivyo hakuna unyumba.halafu kuna kikauli fulani kinanikela..!!.eti "usiponipa hela leo ntajua hunipendi".kwangu ukisema hivyo ndo umelikoroga,sikupi hata shilling kumi.ponguzeni tamaa,saa nyingine ile hela inakuwa ya office,ya kulipa deni au nimemshikia mtu.musiwe wa kulaumu.mia
Ni wachache sana wanaoweza kuishi wawezavyo..tatizo dada zetu wanapenda sana kuigiza maisha...
ni vizuri waishi wawezavyo, na sio watakavyo...
Sweetheart bana, yaani nikajua umenitema tu, nimekumiss pia, long time ujue , hope uko pouwaa!sweetheart....na unakula vzr kabisa wewe na wanao, kila mnachopenda mama anawaandalia, na chenchi inabaki...hahaha pana chezea mchaga na pesa! hivi unajua nimekumic? na tarehe zinasoma naomba mtoko jamani!..
speaking of CL loooooo tutakoma nakwambia, yaani najibanaga mpaka utumbo unatetemekafigganigga bwana ..toeni mahela hayo ha ha ha ...
Uliniahidi utaninunulia kitenge cha Wax harafu sasa zimepanda bei sweetie 45,000. to 60,000.00
Uliahidi utaninunulia kilongalonga kipya muzee... kuna duka nimeona bei nzuri tu 750,000.00
sweet lotion kuna kpart ya shost nilikuwa sijachanga ni 50,000.00 tu i love you
Pia kuna Kiatu kipya my love kinaitwa CL mashoga zangu wote wanacho ..290$ tu
oooh my god ..
hamna kujenga
Sweetheart bana, yaani nikajua umenitema tu, nimekumiss pia, long time ujue , hope uko pouwaa!
Dah! lakini kutokana na maelezo ya hapo red unaonaje hapo buluu tukacancel kidogo lool
speaking of CL loooooo tutakoma nakwambia, yaani najibanaga mpaka utumbo unatetemeka
hahaha sio ubahili sweetheart, kamshahara kenyewe kako under age si unajua? hehehe halaf msg sent , twenzetu kule alikokwenda Mbu na soulmate.nipo pouwaaa kwa sana, hofu kwako....ubahili wako unanikeraga sana....nakutoa mie leo! nitumie sms nataka nikupeleke wapi ili nijue nachota fungu kiac gani......
speaking of CL loooooo tutakoma nakwambia, yaani najibanaga mpaka utumbo unatetemeka
hahaha sio ubahili sweetheart, kamshahara kenyewe kako under age si unajua? hehehe halaf msg sent , twenzetu kule alikokwenda Mbu na soulmate.
On a serious note kinamama katika kitu mnachofeli sana ni mpangilio wa kifedha na malengo (sio wote wajameni msije mkagoma kujibu PM zangu buree)