Ndo napigwa chini nini?

bro umekwenda na maji......kutakuwa na chalii pembeni anatoa mambo motomoto !!! relax
 
mharibifu wewe Elli.....mwaya kodabosi m'bembeleze....wasichana huwa tunapenda kubembelezwa sometimes.....inaelekea ulikaa muda mrefu hujam'bembeleza na kumuonyesha yeye ni spesheli....huwa tunatest zali....huyo hakumwagi wala nini.......

Asante Preta kwa kunipa moyo..) Wil do that wangu.🙂
 
Mpe muda asahau we kila siku unamsumbua baada ya kumchefua kaishasema hataki muachane,kaa kimya wiki halafu mpigie sio sms tena.

Poa mkuu, ndo namsikilizia maana kasema atanitafuta mwenyewe!!
 

Thanks M1, wil do tht..))
 
Kuna topic moja ilitolewa humu ndani inasema "ukigombana na mpenz wako mkisha do hapohapo automatically mnasameheana" so mtafute urajiribu kuapply hako kafomula.
 
jee uhusiano wa distance relationship ni wa muda gani?na huwa mnaonana kila baada ya muda gani?kama unampenda mtu,huwezi kumuonea uvivu hata siku moja,either wewe unapenda zaidi kuliko yeye anavyokupenda,au ameshaanza kukuchoka kwa hiyo mawasiliano yanaanza kupungua taratiiibu.Anaangalia ustaarabu kidogo kidogo.mapenzi ya mbali kwa kuwa humuoni mwenzio unakuwa na hamu ya kila wakati uone msg yake,au muongee kwenye simu,hata malavidavi kwenye simu unaridhika kabisa.Na ni kweli inatia hasira mno,ukiangalia humuoni,unatuma msg,hazijibiwi au zinajibiwa kiuvivu,unaishia kuwaza weeeee bila kupata solution yoyote ile. Unaishia kumtumia msg yenye maneno makali ili umgutushe mwenzio na akuelewe jinsi gani unavyoumia. muhimu mpe muda na wewe jikaze ukae kimya kidogo na ji keep busy,uangalie kama mambo yatakuwa hivyo hivyo au ni ya muda tu na kama akiendelea kuwa mvivu,ujue huyo hana mapenzi na wewe tena
 
Pole sana,
Kwa uzoefu wangu ili kupata experience kwenye swala zima la mapenzi KUPIGWA CHINI na KUPIGA CHINI ni swala la kawaida coz unaweza kuta we unampenda mwenzi wako lakini anakuwa ndivyo sivyo hasa dada zetu wa sasa,ili ujifunze lazima vitu kama hivyo vitokee piga moyo konde.
 

Jibu unalo tayari...! Fimbo ya mbali....?

Hapa kibuti tayari, tafuta ustaarab mwingine...!
 
yes wanawake wapo wengi sasa si akaoe mwingine anaomba ushauri wa nini, sasa wewe hapo unashauri nini maana wanawake hawatofautioani sana na kwa staili hii atamaliza mitaa kwa mitaaa, yani ushauri wako haufai ktka jamii na unaonyesha kuwa mtu hatari sana wewe.tak cre
 
SHUT UP COZ I LOVE YOU AND YOU WILL ALWAYS BE MY BABY! "Mkigombana next time mpie huo mstari"
 
na hapo ndipo atakapoambiwa amnunulie gari wakati hata basikeli hana, ataambiwa amnunulie Blackberry wakati yeye ana c25 Twanga pepeta ya enzi za mwalimu.

MPOTEZEE tena MKIKUTANA kuwa standby na pilipili tafuna huku umemtazama


watu mna vituko humu mwe!!!!

 
Pole sana mapenzi ya mbali ni vigumu sana kuyamaintain labda kama mngekuwa ni mke na mume tayari lakini gf na bf ni ngumu kidogo. inawezekana ameshapata mwingine wa karibu yake na anamdatisha.

NB: Avatar yako inachefua mi nilikuwa napata chai kuiangalia lol
 

Kiukweli ni mbaya sana yaani hata kuingalia sitaki. Hebu badili bwana aahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…