cylivester
Senior Member
- Aug 19, 2013
- 150
- 8
Bro unajua kunamambo 2 zmetokea÷Comes From Latin securus (of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe. Hivyo basi wana maana pesa zao hazitakua Mikono salama kukupa wewe!
Bro unajua kunamambo 2 zmetokea÷
Kuna did not acqure
Kuna did not secure
Plz mwenye uelewa kidogo na hv term!
pole mkuu!!
dada na wewe mshari!!!....but umemwambia ukweli...safi sanaNimekupenda sana ndugu yani umemkomesha....yan anadai mzee ana hela wkt bado analia jf kakosa bum...kula like elf kumi mkuu
safi sana Mbrazili mpe elimu ya mtaa(ya kuishi na watu) huyo mtoto mchelemcheleSikuongea kwa ubaya wala sikusema hutosoma,.umerudi mule mule una arogant ya hatari.....nimekuonesha tu mambo hayapo kama ulivyokuwa unadhani.....priority non priority ni status tuu ulishindwa kunotify hilo ukacheka mamba kabla ya kuvuka n'gambo saa hizi unaleta sizitaki mbichi hizi
unafkiri kukosa mkopo ndio sitosoma,nashukuru baba yangu anao uwezo wa kunilipia hapo chuo..kama alinilipia 2.5M ada ya shule basi hawezi kushindwa kunilipia 1.2M za hapo ARU..
Wan jamvi
Inamaana wte hamjui hili=
You did not secure loan
hv kuna wa nacte aliepata jamani???km kuna mwenywe taarifa kdg ndugu zanguni
ndo na mimi imeniandikia hivo hvo
Sio wewe tu tupo wengi
thanx xana nmepata k2 itabd niende heslb pale pale