ndo nimekosa mkopo au?

ndo nimekosa mkopo au?

Comes From Latin securus (“of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe. Hivyo basi wana maana pesa zao hazitakua Mikono salama kukupa wewe!
Bro unajua kunamambo 2 zmetokea÷
Kuna did not acqure
Kuna did not secure
Plz mwenye uelewa kidogo na hv term!
 
mwaka jana nilisoma chuo bila mkopo...na siyo kwamba wazazi wana uwezo, nooo ! nlikomaa mpaka nmefakiwa kumaliza mwaka mzima bila mkopo...ila ki ukweli maisha ya chuo bila mkopo yataka moyo....japo ukishakubaliana na hiyo hali basi kila kitu utakiona kawaida....sahivi tena nimekosa mkopo najiaada tena kwenda kupambana na maisha yaleeee:target::target: lazima uwwe mkomavu
 
Bro unajua kunamambo 2 zmetokea÷
Kuna did not acqure
Kuna did not secure
Plz mwenye uelewa kidogo na hv term!

Kwel nimeona hiyo ki2 kuna tofauti yeyote.. Mwenye maelezo ya ziada..tafadhali..
 
Ivi wanaosema kuna batch nyingine zitatoka is there any truth in that?! Kwa anaefahamu pls nijuze
 
Sikuongea kwa ubaya wala sikusema hutosoma,.umerudi mule mule una arogant ya hatari.....nimekuonesha tu mambo hayapo kama ulivyokuwa unadhani.....priority non priority ni status tuu ulishindwa kunotify hilo ukacheka mamba kabla ya kuvuka n'gambo saa hizi unaleta sizitaki mbichi hizi
safi sana Mbrazili mpe elimu ya mtaa(ya kuishi na watu) huyo mtoto mchelemchele
 
Last edited by a moderator:
Unachotakiwa ufatilie mkopo wako pale bodi watakupa tu. Mimi mwenyewe mwaka jana walininyima nilichaguliwa Mathematics& statistics lakin nilivyofuatilia mwez wa 12 walinipa
 
Haya mkasome hata kama advance mmesomea shule za kishenzikishenzi
 
Unachotakiwa ufatilie mkopo wako pale bodi watakupa tu. Mimi mwenyewe mwaka jana walininyima nilichaguliwa Mathematics& statistics lakin nilivyofuatilia mwez wa 12 walinipa
uliappeal au uliwafata ofisin tu????
 
jaman naomben utaratb wa ku-appeal 7b course yang n education lakn ndio nmekoxa
 
Wan jamvi
Inamaana wte hamjui hili=
You did not secure loan

ukumbuke huu ni mkopo kama miko mingine utofauti huu hauna riba.sasa katika mikopo ya kawaida tunakitu kinaitwa security ambayo ni risk management kama mkopo ukidefault.sasa with loan board ukiambiwa kitu secure means hukutoa relevant information for the security of the loan or some informations do differe kiasi cha kufanya mkopo kutokuwa secured.nakushauri wa email au visit their office
 
Si dhani kaka Uko sahihi mkuu, katika jamii yetu tumekiwa na Tabia ambayo inanikera sana,, kuchangia harusi huku vijana wanakosa Ada za vyuo na shule.. wanarud hm!! TUBADILIKENI JAMANI!!
 
Back
Top Bottom