ulxhawah kwnda 7b me ndio kwanza cjawah hata kutia guu pale
sema pale napo pana ukiritimba wa hatari.,mlinzi tu anaweza kukuzingua hata usifike sehemu yyt,akajifanya anaweza kukujibu
sema pale napo pana ukiritimba wa hatari.,mlinzi tu anaweza kukuzingua hata usifike sehemu yyt,akajifanya anaweza kukujibu
mwaka jana nilisoma chuo bila mkopo...na siyo kwamba wazazi wana uwezo, nooo ! nlikomaa mpaka nmefakiwa kumaliza mwaka mzima bila mkopo...ila ki ukweli maisha ya chuo bila mkopo yataka moyo....japo ukishakubaliana na hiyo hali basi kila kitu utakiona kawaida....sahivi tena nimekosa mkopo najiaada tena kwenda kupambana na maisha yaleeee:target::target: lazima uwwe mkomavu
Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
You're too proud!! Those harsh words of yours will bring your downfall and sincerely I pray to God so that you can have misfortunes in your pathetic life!!Haya mkasome hata kama advance mmesomea shule za kishenzikishenzi
Mi mwenzenu nimeambiwa sijafanya application. Nisaidien kwa hili. Nimepata Human Resourse chuo cha Ustawi wa Jamii. Index no. S 0201 0070 2005:
Kwa IFM yeyote aliyesecure loan..
mikopo bado Msijipe mapresha tu. soma tanzania daima.
niliwafata ofisini kaka tulikuwa kama 20uliappeal au uliwafata ofisin tu????