ndo nimekosa mkopo au?

ndo nimekosa mkopo au?

ulxhawah kwnda 7b me ndio kwanza cjawah hata kutia guu pale

j3 asubuhi nawashauri tukutane hapo ofisini kwao kwa namna yeyote tupate majibu sahihi ya hiyo not secured na kama ndio tumekosa tucheki mbadala au tukauze mitumba
 
Akuna kukata tamaa katika maisha,,cha msingi ni kujua tatizo liko wap katika nchi yetu?ufisadi na kujuana ni kwingi sana,,know how''is not matted,,,know who,is matted,,,,tutafute njia ya kuondo mzizi huu mbaya ndani ya nchi yetu,,,sio kulalamika,,,tatizo liko waz,,,kipindi cha chaguz,,,amtaki kutumia kula zenu vizuri,,,,,sasa mue makini next election,,,
 
mwaka jana nilisoma chuo bila mkopo...na siyo kwamba wazazi wana uwezo, nooo ! nlikomaa mpaka nmefakiwa kumaliza mwaka mzima bila mkopo...ila ki ukweli maisha ya chuo bila mkopo yataka moyo....japo ukishakubaliana na hiyo hali basi kila kitu utakiona kawaida....sahivi tena nimekosa mkopo najiaada tena kwenda kupambana na maisha yaleeee:target::target: lazima uwwe mkomavu

MUNGU AMEKUWEZESHA UCJISIFU.HEBU WAPE NA WENZAKO HIZO MBINU MBBADALA......!za kuyakabili maisha ya chuo bila mkopo.
 
network inazingua jaman naomben mnianglizie na mimi S1754/0144/2010 ILI NIJUE kama na mim niungane na wew mkuu kuenda kulima
 
Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!

soma tanzania daima, mchanganuo wa mikopo utakamilika wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi
 
Haya mkasome hata kama advance mmesomea shule za kishenzikishenzi
You're too proud!! Those harsh words of yours will bring your downfall and sincerely I pray to God so that you can have misfortunes in your pathetic life!!
 
Mi mwenzenu nimeambiwa sijafanya application. Nisaidien kwa hili. Nimepata Human Resourse chuo cha Ustawi wa Jamii. Index no. S 0201 0070 2005:
 
heslb mapema nko pale najua wamexoma xana comment za wana jf czan km utapewa hata ruhusa ya kuingia
 
Back
Top Bottom