Ndo takwimu za sensa au!
SwadaktaaaSababu ni zile zile....
1.Kula ujana kwenye ndoa,
2.uchawi mapenzini,
3.kukosa hofu ya Mungu,
4.past yenye maumivu ya kutendwa au kutenda,
5.kipato duni
6.ukosefu wa nguvu za kiume,
7.tamaa,
8.kiburi,
9.mdomo,
10.kutokuhudumia na kutokujitambua
Mkuu unatumia kinywaji ganiJando na Unyago tumepiga teke. Shuleni tena mwendo wa kuwafundisha watoto wetu 50/50,haki sawa na usawa wa kijinsia.
Matokeo yake single parents wa kumwaga, watoto wanakuwa bila kupata malezi ya baba na mama, baadae inakuwa ngumu kumwambia mtoto umuhimu wa ndoa.
Ndoa ndio msingi wa kila kitu,ndoa bora, hutengeneza jamii iliyo bora na taifa lenye ubora.