Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
ndoa unayn tayari dadangu sema haijapata baraka za kanisa. Yawezekana ulipata ujauzito wakati hajaamua kuoa ila anakupenda sema i doubt ishu ya ex wake kama ni kweli mpe ukweli huyo mwanamke, ushainvest sana kwa huyo mwanaume asikusumbue mfate mwambie akae mbali na mumeo kma jamaa unaishi nae. Tena asikupe presha kuhusu ndugu wataelewa tu my dear kumbuka maisha hayafanani kila mtu ana destiny yake. Nawe ukute unavijisenti sasa ndo maana unang'ang'ania kutaka kuondoka mtoto wa pili tayari huyo mwanaume mtengeneze atulie please. Mungu atakusaidia katika maamuzi yako just fight while praying to God.