Kibaya zaidi na wabeba mimba wanaikubali hiyo,vipimo vya kitibabu haviwezi kutoa majibu sahihi?
Mbona kawaida tu
si lazima tuwe kama mababu na mabibi. hii hii system tuiboreshe ndo ubunifu
Nawaonea huruma vijana wanao oana kabla hawajatiana mimba.
Tianeni mimba ndo muoane bana.
Utandawazi huo, dunia imekuwa kijiji - Mila na maadili havina nafasi ten. Watu wanaona na kusikia yanayotokea katika mabara mengine. Haki za binadamu, hakuna miiko kuzaa kabla ya ndoa, hakuna maneno mbofu mbofu ya kuzaa mtoto asiye na nywele kwa sababu mama yake alikula mayai wakati akiwa na mimba, hakuna kuzaa mapacha kwa sababu kuna mtu alikuruka wakati umekaa chini, hakuna mtoto kuchelewa kutoka kwa sababu mama mweye mimba alipenda kukaa mlangoni
Mbona kawaida tu
Yote kumi.
Sijaona shida hapo ....
We acha usiwashauri afu waoane, wakisaula wakute mmoja wao ana mbili ndo utaona kasheshe lake.mh! mie siwashauri...................
Hii kali.Wanaanza kunyofoa tokea form1..sasa itakuwaje akija kumaliza english course college za k/k?na ni vip nimtrust pasipo kupitia usahili (carrier interview) hiyo,tunawapa mambo ili akionesha + basi apewe kitengo with permanent terms
iko pouuua sana!