Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
- Thread starter
- #41
Isiwe ya kusingiziwa lakini,DNA vipi?mkuu miaka ya leo ujauzito ni lulu, 7bu kubwa ni wadada wenyewe kuzitoa hizo mimba kabla ya kuwekwa ndani...
vipimo vya kitabibu vinatoa majibu sahihi, tatizo watabibu wananunulika sana hii inasababisha wanaume wanaingia maabara wenyewe kufanya hizo test...