Ndoa baada ya kupeana mimba imekaaje?

Isiwe ya kusingiziwa lakini,DNA vipi?
 
Wengi wa wanandoa wapya siku hizi wanaingia kwenye hiyo taasisi baada ya kupeana mimba "kutest zali", kitu ambacho huko nyuma haikuwa hivyo.Na wengi walioana wakiwa 'bado" hawajaivunja ile amri.Siku hizi vipi?Au ndo utandawazi?

Wonders of the world dynamism!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…