Ndoa bila PMU inawezekana?

Ndoa bila PMU inawezekana?

Loreen

Senior Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
110
Reaction score
32
habarini za mchana.ni hivi kwanini asilimia nyingi ya harusi zinazofungwa sasa hivi bibi harusi anakuwa ni mjamzito?kwani wana jf nisaidieni ili swali kwani haiwezekani kusubiri mpaka muingie kwenye ndoa ndio mualalishe kitendo?karibuni:A S 465:
 
kwani kuna shida gani?

kYC- Know Your Customer
 
kwni ww hauoni kuwa ni tatizo?
 
no haiwezekani ikawa imeziba kwani operation hazipo?
 
Wengi wao husema wana-test kama mwanamke ana uwezo wa kuzaa..otherwise watafute PLAN B.....# Mbaya sana!!..wakiona tumbo halijibu wanapiga chini..
 
Bwana na bibi harusi walifunga ndoa, baada ya wiki moja wakapelekana kwa sheikh na mambo yalikuwa hivi.
Mume: Sheikh mimi wakati namuoa huyu dada nilidhani atakuwa () au (()) lakini kumbe ni ((((((((((())))))))))))) kwa hiyo sheikh mimi siwezi!!!!!!

Mke: Sheikh hata mimi wakati ananioa nilidhani ni --------------- au ------- lakini kumbe ni --, sheikh huku akilia mimi siwezi kabisa!!!!!!!

Sheikh akabaki mdomo wazi!!!!!

habarini za mchana.ni hivi kwanini asilimia nyingi ya harusi zinazofungwa sasa hivi bibi harusi anakuwa ni mjamzito?kwani wana jf nisaidieni ili swali kwani haiwezekani kusubiri mpaka muingie kwenye ndoa ndio mualalishe kitendo?karibuni:A S 465:
 
Sasa gharama zote za operation zann? Si bora uchunguze kwanza kama bidhaa iko safi thn ununue.
pata picha umefukuzia mwaka then kakubali ndoa yaani wkt wa kwenda fungate mnaelekea muhimbili........aagh!! kweli rehearsal muhimu
 
Bwana na bibi harusi walifunga ndoa, baada ya wiki moja wakapelekana kwa sheikh na mambo yalikuwa hivi.
Mume: Sheikh mimi wakati namuoa huyu dada nilidhani atakuwa () au (()) lakini kumbe ni ((((((((((())))))))))))) kwa hiyo sheikh mimi siwezi!!!!!!

Mke: Sheikh hata mimi wakati ananioa nilidhani ni --------------- au ------- lakini kumbe ni --, sheikh huku akilia mimi siwezi kabisa!!!!!!!

Sheikh akabaki mdomo wazi!!!!!
hata dawa ina shake well before use + period ya uboyfrnd na ugalfrend inachukua muda .
 
Imeonyesha kua hilo jambo zito mno kwa kizazi hiki yahitaji kujikana nafsi.
Kwa sababu yawezekana kabla hawajakutana walishawah kua na wapenz then wakawa wanadu kwa sana leo hi wajizuie haswa kama kilammoja alishakua na uzoefu wakudu.
Labda muwe mmeshika imani au maadili kwelikweli!
 
pata picha umefukuzia mwaka then kakubali ndoa yaani wkt wa kwenda fungate mnaelekea muhimbili........aagh!! kweli rehearsal muhimu

Utata huja tunapoanza kuwachunguza, tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga(mimba kwanza thn ndoa) .mia.
 
kwanza,lazima uhakikishe bidhaa unayooa haina kasoro,kwa siye wakristo ukishaoa hamna kurudi nyuma au kubadilisha.....pili,kuna wazazi pimbi sana,wamegeuza mabinti zao kuwa miradi so ukimpiga kitumbo inapunguza mambo ya kupangiana mahari kubwa na mambo ya posa kukataliwa
 
Hamna haja ya kuoana kwa mbwembwe alafu baadae matatizo yaanze kisa mke hazai wakati uhakika unaweza patikana kabla na kuepuka kero ya kusengenyana.
 
no haiwezekani ikawa imeziba kwani operation hazipo?

we love the uterus not a woman. Na we ukiona mwenzako hazai si utaanza kutafuta talaka? Hii inasaidia kujua mwenzako yuko fit.
 
Hivi sababu ya kuoana ni kuzaa?
Na je Mungu ni mjinga yeye aliyeumba viungo vya uzazi mwenyewe na bado akasema usizini.

Ndio maana ndoa nyingi za waafrika hazina furaha watu wanachukulia kama jela wao wanaoa ili kukuza ukoo tu.
 
Back
Top Bottom