Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna haja ya kuoana kwa mbwembwe alafu baadae matatizo yaanze kisa mke hazai wakati uhakika unaweza patikana kabla na kuepuka kero ya kusengenyana.
kwa hiyo ukigundua kabla ya ndoa kuwa hazai unaachana nae?
Inategemea na umuhimu wa mtoto/watoto kwa hao watu.Wana haki ya kuachana kama hawawezi kutimiza malengo yao pamoja.
Kwani kuwa na mtoto sio lengo?Hilo nalo ni lengo na ndio maana unasikia wanandoa wana matatizo kisa hawajajaliwa mtoto na wengine kufikia hata kutafuta nje ama kuvunja kabisa ndoa. Tofauti ni kwamba sio lengo la kila mtu. . .hivyo kigezo muhimu ni kuangalia kama wanaweza kutimiza malengo yao kwa pamoja na sio kuangalia kama anazaa au la kabla ya ndoa. Maana upendo wa kweli ujalishi hilo ukimpenda mtu bwana hata kama hazai utafurahia maisha ya ndoa.
KUNGURU HAFUGIKI
offtopic:umesoma marketing?
Kwani kuwa na mtoto sio lengo?Hilo nalo ni lengo na ndio maana unasikia wanandoa wana matatizo kisa hawajajaliwa mtoto na wengine kufikia hata kutafuta nje ama kuvunja kabisa ndoa. Tofauti ni kwamba sio lengo la kila mtu. . .
Na hayo maswala ya "kunguru hafugiki" yanaingia vipi hapa?
ni kweli kila mtu anayeoa/olewa natarajia kupata mtoto ila ikitokea hampati hilo lisiwe sababu ya kutengana na huenda tatizo likawa ni la yule ambae anavunja uhusiano. Ama sivyo utakuwa una mahusiana na wapenzi kibao bila kutimiza malengo.
Inategemea na umuhimu wa mtoto/watoto kwa hao watu.Wana haki ya kuachana kama hawawezi kutimiza malengo yao pamoja.
Kwa hio Mungu aliposema usifunje amri sita hii imekaaje? Mungu hajui kama una malengo na akasema usizini? na Huyu asiozaa ataolewaje? Je ni sababu tosha ya kutozaa ivunje uchumba? Mapenzi yana nafasi gani hapo? Ikiwa ni wewe inakutokea hio huzai unaachwa na mchumba wako utajiskiaje? Think abou it Lady.
Na ni nani aliyesema mkazaane mkaongezeke mkaijaze dunia? watoto ndio kiunganisho cha ndoa na familia zenu, kwa sababu kama ulikuwa hujui mwanamke sio ndugu yako, ila watoto wakizaliwa ndio wanaziunganisha familia zenu.Hivi sababu ya kuoana ni kuzaa?
Na je Mungu ni mjinga yeye aliyeumba viungo vya uzazi mwenyewe na bado akasema usizini.
Ndio maana ndoa nyingi za waafrika hazina furaha watu wanachukulia kama jela wao wanaoa ili kukuza ukoo tu.
Ntajisikia poa!!Kwanini nitake kuolewa na mtu ambae siwezi kumridhisha?
Do u mean it lizzy?...mwanaume unampenda kwa dhati kisha anakusakama na kukuacha huku akikuita mgumba...wewe utajisikia poa kweli??
Na ni nani aliyesema mkazaane mkaongezeke mkaijaze dunia? watoto ndio kiunganisho cha ndoa na familia zenu, kwa sababu kama ulikuwa hujui mwanamke sio ndugu yako, ila watoto wakizaliwa ndio wanaziunganisha familia zenu.
no haiwezekani ikawa imeziba kwani operation hazipo?