isamilo1982
Member
- Jan 17, 2012
- 55
- 5
Nimekuwa nikisikia malalamiko mengi juu yandoa zinazovunjika visa niving lakn hili la watoto linashika kasi,je kuna ukweli wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua ndoa bila kuwa na mtot inawezekana pale tuu ambapo both parties kabla ya ndoa walikuwa wamekubaliana kuwa hawataki watoto na actually mwanaume akaenda kuhasiwa na mwanamke kufunga tubes zake....
Acha kupotosha ukweli. .unajua ndoa bila kuwa na mtot inawezekana pale tuu ambapo both parties kabla ya ndoa walikuwa wamekubaliana kuwa hawataki watoto na actually mwanaume akaenda kuhasiwa na mwanamke kufunga tubes zake....
Acha kupotosha ukweli. .
Sio kila ambae hana mtoto anapenda kutokua na mtoto au amefunga kizazi. Kama hufahamu wapo watu wasio na uwezo wa kuzaa, au wana matatizo yanayofanya iwe ngumu kwao kushika/sikisha mimba.
Mmh ngum kumeza lakini.